Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044
Aksante Mkuu! Ilitokea kuwapenda na bado nawapenda mnoooo! Loh!Wote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!

Wote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!
sidhani kama coolio alikua naughty by nature,.....sikukumbukiWote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!
wako hai, walishapata mitaji.

Nawazimia sana Na vibao vyao Treach na Bongr la Chain...OPP,Feel Me Flow etc na Coolio Gangstar Paradise & C U when U get there!!! Long tym sana hiyo mazeee!!! WOTE WAPO HAO
hiyo ni chorus alisimama mtu mzima LV,.back in 95,.music usta be music and gangstaz were gangstaz in every kinda way...miss those dayz

Bob umenikumbusha this part ya wimbo "Gangster's paradise" inasema "Tell me why are we so blind to see that the ones we hurt are you and me!". My favorite line...
amebaki Antony Chris ama treach na Vinnie.
KG alijitoa na kuendeleza shughuli zake kivyake.
Miongoni mwa makundi ambayo mimi nayazimia mpaka kesho ni pamoja na WestSide connection na 213.
Westside connection wananifurahisha kwa umoja wao pasipokuwa na tamaa za kutaka kujitengatenga.
Hapa utamkuta Ice Cube, pale mjomba WC na pembeni kule utamkuta Mac 10...
213 amepungua hayati Nathaniel Dwayne ama Nate Dogg aliyekwenda kuanza maisha mapya huko tusikokujuwa.
..lakini Snoop na Warren G still wako pamoja
naomba urudie kuoma swali ndugu yangu, maelezo yanaeleweka vizuri 2sidhani kama coolio alikua naughty by nature,.....sikukumbuki
hiyo ni chorus alisimama mtu mzima LV,.back in 95,.music usta be music and gangstaz were gangstaz in every kinda way...miss those dayz

naomba urudie kuoma swali ndugu yangu, maelezo yanaeleweka vizuri 2