Kuhusu Kundi la Naughty by Nature!

Kuhusu Kundi la Naughty by Nature!

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,044
Heshima kwenu Wakuu!
Naomba kujua kuhusu kundi hili miondoko ya "kufokafoka" lililowahi kuwika sana miaka ya 90 bado lipo? Na kama kundi halipo je, wasanii wake bado wangalipo duniani? Pia kama ningependa kufahamu kuhusu msanii wa miondoko hiyo pia kwa jina Coolio. Naye alikuwa nguli miaka hiyo. Naomba mnijuze wadau..!

Wote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!

Aksante Mkuu! Ilitokea kuwapenda na bado nawapenda mnoooo! Loh!

Wote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!

TREACH, KG NA VEENIE

KG ni producer/beatmaker, ame lay tracks for Next(mdogo wake ni member) na Jaheim(R&B).
Treach yuko kwenye acting...several small gigs kwenye tv na movies.
Vinnie ana clothing line ya watoto na ni community organiser kwenye mambo yta voting,violence etc..
Walijaribu kujiunga tena na kutoa album like 10yrs ago...but it wasn't that poppin'.
All in all jamaa huwa wanakutana kama kuna deal na kufanya concerts eg. Howard homecomings,Essence magazine Festivals etc..

Nawazimia sana Na vibao vyao Treach na Bongr la Chain...OPP,Feel Me Flow etc na Coolio Gangstar Paradise & C U when U get there!!! Long tym sana hiyo mazeee!!! WOTE WAPO HAO

amebaki Antony Chris ama treach na Vinnie.
KG alijitoa na kuendeleza shughuli zake kivyake.
Miongoni mwa makundi ambayo mimi nayazimia mpaka kesho ni pamoja na WestSide connection na 213.

Westside connection wananifurahisha kwa umoja wao pasipokuwa na tamaa za kutaka kujitengatenga.
Hapa utamkuta Ice Cube, pale mjomba WC na pembeni kule utamkuta Mac 10...

213 amepungua hayati Nathaniel Dwayne ama Nate Dogg aliyekwenda kuanza maisha mapya huko tusikokujuwa.
..lakini Snoop na Warren G still wako pamoja

Wote wapo lakini wamebakia wawili mmoja amejitoa simkumbuki jina,wamebaki Treach na KG,Treach anajishughulisha na uchezaji wa filam zaidi,Coolio yupo ila anacheza filam!
sidhani kama coolio alikua naughty by nature,.....sikukumbuki

Dah..! Nimefarijika wakuu. Ila nimechoka sana na hawa wabana pua wa siku hizi wanavoendekenza, muziki wao ni wa kivivu kweli.

Nawazimia sana Na vibao vyao Treach na Bongr la Chain...OPP,Feel Me Flow etc na Coolio Gangstar Paradise & C U when U get there!!! Long tym sana hiyo mazeee!!! WOTE WAPO HAO

Bob umenikumbusha this part ya wimbo "Gangster's paradise" inasema "Tell me why are we so blind to see that the ones we hurt are you and me!". My favorite line...

hiyo ni chorus alisimama mtu mzima LV,.back in 95,.music usta be music and gangstaz were gangstaz in every kinda way...miss those dayz

hapo kwenye red mkuu....kibao chao na bow down...MACK 10 aah man funika bovu
amebaki Antony Chris ama treach na Vinnie.
KG alijitoa na kuendeleza shughuli zake kivyake.
Miongoni mwa makundi ambayo mimi nayazimia mpaka kesho ni pamoja na WestSide connection na 213.

Westside connection wananifurahisha kwa umoja wao pasipokuwa na tamaa za kutaka kujitengatenga.
Hapa utamkuta Ice Cube, pale mjomba WC na pembeni kule utamkuta Mac 10...

213 amepungua hayati Nathaniel Dwayne ama Nate Dogg aliyekwenda kuanza maisha mapya huko tusikokujuwa.
..lakini Snoop na Warren G still wako pamoja

hiyo ni chorus alisimama mtu mzima LV,.back in 95,.music usta be music and gangstaz were gangstaz in every kinda way...miss those dayz

True brother! Sie tuliokua enzi za late '80s to late '90's music was real, kina Rakim, NWA, Onyx, EPMD, etc. So siku hizi mara Lil' Wayne mara sijui Nelly mara sijui soljaboy na mwabana pua kibao! The same goes with Jamaican music, enzi za kina Shabba Ranks, Ninja Man, Patra, etc! Music wa real music brothers!

Back
Top Bottom