jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications.
kamwe tusikubali.
Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa leo?
Mhe.Rais apelekewe facts na sio visingizio vya uongo uongo.
je kuna wafanyabiashara waliojipanga kutukomesha na kujineemesha??
msimamo wangu
-Kodi zibaki pale pale
-Wafanyabiashara wahuni wadhibitiwe vilivyo kwani wanatengeneza sintofahamu kwa maslahi yao.
-Taasisi ya Urais isitishwe na isimame na umma!
Covid 19 ilihimiliwa vilivyo sembuse vita vya ukraine?
Ni nani anayetaka kumuonesha Rais Samia hatoshi?
Jibu ni wale wale wahuni...lazima wadhibitiwe vilivyo!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!