Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
Labda wamiliki wa hivyo vituo walioteshwa ndoto ya kutokea kwa vita ya Russia vs Ukraine, Jingalao anaweza kutoa ufafanuzi mzuri
We hujagundua kitu!huoni sahvi vituo vingi vya mafuta vinajengwa +kufunguliwa
Inaelekea sahvi wafanyabiashara wa mafuta wamedhamiria

Ova
 
Back
Top Bottom