Kuhusu kupeleka watoto kusoma nje ya nchi

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,484
Reaction score
3,277
Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila kupenda
2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga
3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi
4. Wanafanyishwa biashara wasizotaka kama ukahaba na kuuza madawa
Usijidanganye na hizo scholarship mnazopata gharama za chakula na malazi ni kubwa sana kwenye nchi za nje.
Kazi kupatikana huko ni ngumu kama ilivyo huku nyumbani.
Msiwaombe watoto hela wakienda kusoma nje wanayopitia ni siri yao
WAZAZI NA WALEZI MSIWAPELEKE UTUMWANI WATOTO WENU KWA KIGEZO CHA KWENDA KUSOMA
"MUACHE MTOTO ASOME BONGO LAND KWA AFYA YAKE YA MWILI NA AKILI"
 
mfano nani
 
Hapa nyumbani penyewe Pako Salama hayo hayatokee?
 
Kwani hapo UD haya hayafanyiki haya na kule IFM na TIA? Hapo mtaani na nyumbani kwako pako salama? Au mawivu tu na umotivation spika na ufundi kwa maisha ya watu tu?
 
Kichwa maji ni kichwa maji tu, Hayo yote yanafanyika hapa hapa nchini pia. Wengine bangi tumeanza kuvuta hata kabla ya kufika chuo. Malezi aliyokulia mtoto pamoja na utashi wake binafsi vina mchango mkubwa katika mmomonyoko wake wa maadili, kama mtoto hajafunzwa kuridhika ni tatizo hilo
 
Kwani hapo UD haya hayafanyiki na kule IFM na TIA?
Huyu hajui, kama ni mwanaume hajafanikiwa kupata watoto wa chuo wanaojiuza kila kona ya Dar, Dodoma, Mbeya, Moro, Mwanza na kwingineko.

Kiufupi watoto wa chuo wanaharibika sio kwasababu ya kwenda nchi za nje. Hapa Dar watoto wa kike waliopo chuo wengi wana simu za iphone za macho matatu na wazazi wao wana simu za infinix za laki nne
 
Kimsingi wameoana hapo walipo, wa kiume na wa kike! Mtoto anaweza kufanikiwa popote alipo ni kupata muongozo sahihi tu! Iwe nje au ndani, anayeenda nje anapata vya ziada tena. na haimaanishi wanaoenda nje wanafanikiwa wote au wanaobaki ndani wanafanikiwa wote, life is dynamic na mazingira yanajenga au kubomoa hamna mwenye control nayo!
 
Watu wengi naona hamjamwelewa mleta mada. Hajamaanisha usimpeleke nje ya nchi mwanao kama uwezo unao. Kamaanisha kama uwezo wako ni mdogo msomeshe mtoto hapahapa ambapo utaweza kumudu gharama zake zote kipindi akiwa chuo. Huko nje gharama za maisha ni kubwa hali inayofanya watoto wa wazazi wenye vipato vidogo kuingia kwenye uovu. Ukiwa na Tsh 1m hapa Tanzania inatosha sana kwenye msosi hata semester nzima ila kwa huko nje ni kidogo.

Hiyo hela ya kumpeleka mtoto India, Malaysia au China kwa kuunga unga si bora ajiunge UDSM au vyuo vingine asome kwa raha? Kuhusu tabia ya mtoto hilo ni jambo lingine. Labda tumsikilize mzee LIKUD anaweza kuwa na maoni tofauti.
 
Back
Top Bottom