Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
mfano naniChondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila kupenda
2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga
3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi
4. Wanafanyishwa biashara wasizotaka kama ukahaba na kuuza madawa
Usijidanganye na hizo scholarship mnazopata gharama za chakula na malazi ni kubwa sana kwenye nchi za nje.
Kazi kupatikana huko ni ngumu kama ilivyo huku nyumbani.
Msiwaombe watoto hela wakienda kusoma nje wanayopitia ni siri yao
WAZAZI NA WALEZI MSIWAPELEKE UTUMWANI WATOTO WENU KWA KIGEZO CHA KWENDA KUSOMA
"MUACHE MTOTO ASOME BONGO LAND KWA AFYA YAKE YA MWILI NA AKILI"
Hapa nyumbani penyewe Pako Salama hayo hayatokee?Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila kupenda
2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga
3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi
4. Wanafanyishwa biashara wasizotaka kama ukahaba na kuuza madawa
Usijidanganye na hizo scholarship mnazopata gharama za chakula na malazi ni kubwa sana kwenye nchi za nje.
Kazi kupatikana huko ni ngumu kama ilivyo huku nyumbani.
Msiwaombe watoto hela wakienda kusoma nje wanayopitia ni siri yao
WAZAZI NA WALEZI MSIWAPELEKE UTUMWANI WATOTO WENU KWA KIGEZO CHA KWENDA KUSOMA
"MUACHE MTOTO ASOME BONGO LAND KWA AFYA YAKE YA MWILI NA AKILI"
Duh,WAZAZI NA WALEZI MSIWAPELEKE UTUMWANI WATOTO WENU KWA KIGEZO CHA KWENDA KUSOMA
Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila kupenda
2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga
3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi
4. Wanafanyishwa biashara wasizotaka kama ukahaba na kuuza madawa
Usijidanganye na hizo scholarship mnazopata gharama za chakula na malazi ni kubwa sana kwenye nchi za nje.
Kazi kupatikana huko ni ngumu kama ilivyo huku nyumbani.
Msiwaombe watoto hela wakienda kusoma nje wanayopitia ni siri yao
WAZAZI NA WALEZI MSIWAPELEKE UTUMWANI WATOTO WENU KWA KIGEZO CHA KWENDA KUSOMA
"MUACHE MTOTO ASOME BONGO LAND KWA AFYA YAKE YA MWILI NA AKILI"
Huyu hajui, kama ni mwanaume hajafanikiwa kupata watoto wa chuo wanaojiuza kila kona ya Dar, Dodoma, Mbeya, Moro, Mwanza na kwingineko.Kwani hapo UD haya hayafanyiki na kule IFM na TIA?
Huyu hajui, kama ni mwanaume hajafanikiwa kupata watoto wa chuo wanaojiuza kila kona ya Dar, Dodoma, Mbeya, Moro, Mwanza na kwingineko.
Kiufupi watoto wa chuo wanaharibika sio kwasababu ya kwenda nchi za nje. Hapa Dar watoto wa kike waliopo chuo wengi wana simu za iphone za macho matatu na wazazi wao wana simu za infinix za laki nne
Usiseme kwa siku ya leo, siku haijaisha unaweza kuwekwa mwingine ukaupiku huuHUU uzi ni wakipumbavu Kwa siku ya Leo JF