wewe na huyo mwandishi wote akili zenu ni ndogo.Hata wewe umeonaeee! Kwa mtu mwenye upeo jamaa kaongea point sana kwanza najiuliza wanamtekaje na kumuua mtu ambaye hata hakuwa popular. Mimi nimemjua baada ya kuuawa
Wawaache mawhistle blower kibao ambao ni maarufu na wana impact kama akina MMM
Acha kutukana, toa mtazamo wakoPumbaff kbsa.jamii ya waandishi kama hawa ndio waliotufikisha hapa tulipo
huyo sio mwandishi. huyo ni spin doctor. Anamu-accuse Marehemu kwa kosa ambalo hata serikali yenyewe haijawahi kumuhisisha.. unajua implication zake kwa familia ya Marhum. huu ni upumbavu. Mzee wa watu hawezi kujitetea. kwanini asingesema yote haya alivyokuwa hai. Irresponsible 'journalism'Wamekufikishaje hapo waandishi kamanda? Au unadhani kila mtu ataandika hadithi unazopenda wewe? Acha watu waandike fikra zao kwa uwazi kama huzikubali funga bakuli lako pita kule! Au unadhani kila mtu humu anadumisha fikra za mbowe?
Lengo la chadomo ni kutaka serkali iache ishu za msingi ibakie kujadili utekaji na watekaji ni wao , namshukuru Mh Rais Samia kugundua hilo na bunge kujitenga na ujinga huoKwahiyo huyo muandishi nguli yeye hakujiuliza kwanini rais alisema kutekwa ni drama, bunge kugoma kujadili huo utekaji, na mahakama kugoma kutoa amri ya kimahakama kuhusu watu kutekwa, ila yuko na hizo dhana za kuokoteza!
startergear naona unadhani bado watu wamelala, hivyo hii spinning ya huyo muhuni unategemea itatupoteza maboya.
Ujinga upo wapi hapo?....kwani utekaji na mauaji hayapo?Lengo la chadomo ni kutaka serkali iache ishu za msingi ibakie kujadili utekaji na watekaji ni wao , namshukuru Mh Rais Samia kugundua hilo na bunge kujitenga na ujinga huo
USSR
We juha soma habari yote.Pumbaff kbsa.jamii ya waandishi kama hawa ndio waliotufikisha hapa tulipo
Ingekuwa baba yake mzazi ndio katekwa na kuuliwa kinyama saa hizi angekuwa anahubiri lugha nyingine kabisa.Pumbaff kbsa.jamii ya waandishi kama hawa ndio waliotufikisha hapa tulipo
Naamini hamjamsoma huyo mwandishi mpaka mwisho mkamuelewa, au kama mmemsoma, basi hisia za maumivu zimewasukuma kumshambulia kinyume na hoja zake alizoandika...naona kama muandishi Bollen Ngeti anajenga hoja ya kuhalalisha mauaji ya Mzee Ally Kibao.
..Huyu bwana hata kama aliwahi kuwa mwanajeshi, na alikuwa walipanga njama dhidi ya Polisi, bado hakustahili kuuwawa na kutobolewa macho.
..Na hapa sizungumzi juu juu tu. Tunaweza kurudia matukio ya ukamataji wa WAHAINI ya mwaka 1983.
..Yuko komando Captain Mussa Tamim aliuwawa wakati wa ukamataji. Tamim alikuwa askari, mtu wa Tanga, ambaye alituhumiwa kutoroka jeshini. Wengine wanadai hakutoroka alitumwa kwenda kumlinda Rais Yussuf Lule wa Uganda.
..Tamim aliuwawa na maofisa usalama waliotumwa kumkamata kwa tuhuma za kupanga njama kupindua serikali. Lakini uhalali wa kumuua ulitokana na ukweli kwamba Tamim alikataa kukamatwa, na aliwashambulia maofisa waliotumwa kumkamata.
..Tukirudi kwenye tukio la Ally Kibao, yeye hakugoma kukamatwa. Pia hakushambulia waliomkamata. Sasa imekuwaje akauwawa? Pia kwanini amwagiwe tindikali? Kwanini atobolewe macho?
..Nimewarudisha kwenye historia ili muelewe UJINGA wa baadhi ya waandishi watetezi wa CCM kama Bollen Ngeti.
don't entertain this ndugu. Trying to build an argument by sounding clever and taking clever digs at the regimes in such serious times isnt the way to go. Mzee wa watu amefariki , na huyu mwandishi amejaribu kuunganisha dots ambazo ni very far fetched. wapi polisi walimuhusisha na ugaidi? Wakti yupo hai jina lake 99.9% of wabongo hawajawahi hata kulisikia kwenye siasa and there isnt any reason for him to tie his death with stupid conspiracies. anataka kuhalalisha alichofanyiwa au??Naamini hamjamsoma huyo mwandishi mpaka mwisho mkamuelewa, au kama mmemsoma, basi hisia za maumivu zimewasukuma kumshambulia kinyume na hoja zake alizoandika.
• Hivi mnaanzaje kumlaumu mtu ambaye anauliza, hata kama Marehemu Kibao alikuwa ns kosa, kwanini auawe badala ya kupelekwa mahakamani?
• Mnamlaumu vipi mwandishi anayeuliza wapi Chafema
Rudia kusoma,Huu ujinga huko CCM utakoma lini?
Huyo jamaa si mwana CCM atakosaje kuandika mambo ya hovyo hovyo kama haya.
Mpumbafu, kauliza maswali ya kijingaNaamini hamjamsoma huyo mwandishi mpaka mwisho mkamuelewa, au kama mmemsoma, basi hisia za maumivu zimewasukuma kumshambulia kinyume na hoja zake alizoandika.
• Hivi mnaanzaje kumlaumu mtu ambaye anauliza, hata kama Marehemu Kibao alikuwa ns kosa, kwanini auwawe badala ya kupelekwa mahakamani?
• Mnamlaumu vipi mwandishi anayeuliza wapi Chadema wana chuo cha mafunzo ya kijedhi kama walivyo polisi CCP, TISS, ns JWTZ?
Wengi wenu mmekurupuka kumshambulia mwandishi, mnajihami kuogopa spinning mkidhani kila kinachoandikwa ni mchezo, mnatakiwa kutuliza vichwa msome mkijiamini, kisha mchambue maandishi.