Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!


..huu sio wakati wa kuandika " ki-pasco mayalla."
 
Uko sahihi polisi kuongea live kuwa kuna watu wana mipango ovu ni kuwatumia meseji polite kuwa tunajua mipango yenu msithubutu mkithubutu mtakoma

Tii sheria bila shuruti
Wakiwakamata kwa kauli mahakama ingeuliza hizo silaha zipo wapi. Mtu hawezi kupanga mipango ya kuvamia vituo vya polisi bila ya kuwa hata na silaha; among other missing evidence.

Kama huna ushahidi wa kujitosheleza uwezi kamata watu tu na kuwapa criminal case kisa intentions zao; you must meet all the evidence requirements.

Sasa kwa kuwa wana hiyo now ovu (kwa mujibu wa polisi) na huna ushahidi wa kujitosheleza kuwatia wahusika hatiani busara ni kuwaonya walau kujaribu ku-deter na hiyo agenda hayo (the only available mitigating option).

Anyway kwa hii case ya Mzee Kibao, polisi kama hawajaona lead mpaka sasa na hiyo team yao ya uchunguzi ina shida (binafsi sifikirii kwa nadharia ya Ngeti) just coincidences za tukio lenyewe ambazo kuna mtu mpaka sasa ni person of police interest wa kuanza nae kama wahusika wanafuatilia hata mada za JF kwa makini.
 

Huyu mwandishi ameandika kitu gani? Kwa taaluma ni muandishi wa habari au muandishi wa udaku? Mbona haeleweki anasema nini?
 
Yaani Polisi na TISS wameshikiwa akili na Msigwa kila anachosema wanamuamini
 
Hakuna mwenye upeo finyu kama unavyofikiri, Boleni ameandika kikasuku na andiko linazua taharuki zaidi badala ya kuleta tafakuri.

Hili andiko pengine limesomwa na wenye uelewa mkubwa wakaelewa, na pengine limesomwa na wenye uelewa mdogo wakameza mambo kama yalivyo.

Ukitaka kujua hili andiko litaeleweka ndivyo sivyo, Kuna wana CCM wataona amewatetea, (angalia waliolike) na kuna wapinzani wataona Boleni anajaribu kufanya uchokonozi wa hoja! Hiki ndiko mwandishi alichodhamiria na amefanikiwa.

Kivyovyote vile waandishi wana motives wanapozitumia kalamu zao, kwa kaliba yao waandishi wa hii nchi, alichokikusudia Boleni “pengine “ kimefanikiwa kwa 70% isipokuwa kwa watu wachache.

Kwanini aandike overstatements na parables kama tuko wakati wa yesu? Huoni kama kuna majambo yamefanyiwa “amplifications” bila sababu za msingi? au hili ni andiko la kifasihi?
 
Acha ngonjera zako.

Katiba ya JMT 1977 inasema mahakama ndio chombo cha juu kwa utoaji haki nchini.

Hizo story zako za Marekani hapa sio mahala pake.
 
Kwanini unampangia mwandishi namna ya kuandika mskala yake?

Kwanini unataka mwandishi aandike vile unavyopenda wewe?

Unaposema Bollen amefanya uchokonozi wa hoja, ni sawa na hilo ndilo lengo kuu la mwandishi, nami nimelipenda, sasa kila mmoja aanze kuvutia upande wake kama nilivyofanya mimi mbele ya safari.

Msipende kutafuniwa kila kitu nyie kazi yenu iwe ku "like" tu, hao walio "like" upande wa CCM waache wa "like", nawe "like" upande wa upinzani ukitaka, but lazima bongo zenu mzikomaze kwa ku prove wrong or right makala ya mwandishi.

Msipende kukimbilia kurusha mateke tu na kunyooshea wengine vidole, hatuwezi kufanana wote mawazo kila saa na kila siku, jengeni hoja zenu kutetea mnachoamini, hilo ndio lengo kuu la mwandishi.
 
Uko sahihi polisi kuongea live kuwa kuna watu wana mipango ovu ni kuwatumia meseji polite kuwa tunajua mipango yenu msithubutu mkithubutu mtakoma

Tii sheria bila shuruti
Acha ujinga, kubembeleza wahalifu sio jukumu la polisi.
 
..huu sio wakati wa kuandika " ki-pasco mayalla."
Sijui mamlaka yakuingilia uhuru wa mwingine kwenye kuandika mmeyatoacwapi, mnashangaza sana.

Kama mnajiamini kwenye kujenga hoja kwanini muogope anayechokonoa hoja?

Tatizo lenu humu ndani mnaenda kimakundi makundi ya kiitikadi, bado hamjawa na uwezo wa kusimama individually mhesabiwe, mna udikteta flani kujiona nyie ndio wenye haki zaidi ya wengine.

Mnasahau lazima muwashawishi wengine waione hiyo haki yenu, sio kuwalazimisha kwa kuwanyooshea vidole na kuwaita majina ya ajabu.
 
Mbowe alieleza wazi hilo kundi la utesaji liko wapi na nani analiongoza mbona haya HUKUANDIKA......andiko lako limejaa UCHAWA na UJINGA
 
Mkuu soma vizuri hilo swali la muandishi kisha muhukumu yupo upande upi.
Mimi nimeona Kama andiko lake anajaribu kujulisha watu Nani wahusika wa mauwaaji na kuhoji uhalali.
denoo JG
Hilo ndio lengo la mwandishi, tatizo humu ndani kuna mihemko sana, wengi automatically wanataka kusoma kile tu wanachokifikiria wao, hawataki kabisa kusumbua bongo zao.

Just imagine mpaka wanamuita mwandishi mpumbavu, mpumbavu vipi ikiwa wameshindwa kuielewa maana/lengo la makala yake.

Mwandishi alichofanya simply ni kuchokonoa pande mbili, akaweka kila kitu mezani, then mwenye nguvu atetee upande wake ashinde, ajabu hao wanaojiona wana nguvu ndio wanaishia kumtukana, walitaka mwandishj awape ushibdi wa mezani straight away!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…