Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

Hamna kitu hapo..kaandika ujinga tu..hatutetei mtu kufanya makosa - swala sio utuhimiwa swala ni kuuliwa kama kuku...kama mtu anamashtaka ya kujibu apelekwe mahakamani - kwani nchi hii kuna watu wangapi walishtakiwa kwa makosa ya uhainj - wakala mvua za kutosha.Hawakumwagiwa tindikali na kuuwawa nje ya utaratibu.
 
Hii ni hoja ya kisiasa tuvutane tushawishiane? tumshawishi nani, kwanini, inasaidia nini?

Usiassume tu kuwa sote humu hatuelewi anachojaribu kukifanya Boleni.

Hili ni suala la uhai wa mtu kuondolewa vs makosa ya wenye mamlaka, tukijadili na kuchokonoa mada inawasaidia akina nani? Kwamba leads zinatoka humu? kwamba wachunguzi hawaelewi chochote wategemee sisi humu tuwape clue? brother.

Bole anafanya damage control kwa malengo anayoyajua yeye, mimi na wenzangu tumekataa na ni kwasababu tunamjua vizuri.

Maswali anayouliza yako wazi anamuuliza nani? narration anazofanya ziko wazi ananarrate nini?

Naungana na mdau aliyesema tumeuchoka uandishi wa Kipascal mayala.
 
Paragraph yako ya kwanza ya maswali umeonesha ulivyo tawaliwa na emotions, ukiwa hivyo utashindwa kutetea hata ukweli ulio wazi, utashindwa kesi kirahisi sana hata kama haki iko upande wako, rilaxx.

▪ Nani aliyekwambia kwenye siasa hakuna kushawishiana?

▪ Nani aliyekwambia kwenye suala la uhai wa mtu hakuna kushawishiana?

▪ Kwamba hujui hata mahakamani kwenye kesi za mauaji kabla ya kuhukumu lazima pande mbili zivutane kisheria?

▪Umewahi kuona wapi palipo na suala la mauaji ya kisiasa ushawishi huwa hauruhusiwi, ni kujiamulia tu vile wengi wapendavyo?

▪ Kwani Tanzania yetu kuna mahakama inayoamua kesi kwa mtindo wa wengi wape bila ushawishi wa kisheria?

▪ Unadai wewe na wenzako mnajua Rais anafanya damage control, how can you prove it bila ushawishi? kwani ni wote wanaojua unachokijua wewe nal wenzako?

Eti my dear!.
 
Well Noted Mkuu... Mzee BUTIKU jana kaeleza vizuri sana misingi ya Katiba juu ya huu UNYAMA uliotendeka hawa wengine wanatumwa kwa bahasha....hili jambo linapakuanzia....Majuzi Mbowe alianika hili kundi wazi kabisa .....cha ajabu huyu mwandishi hata hili hakuliona na muunganiko wake katika hili Tukio la KINYAMA
 
Angalau wewe hujaweka mihemko ktk maelezo yako.
Yaonekana umemuelewa kiasi.
Bollen ameweka clue za kutosha kuonesha nani prime suspect wa hilo tukio. Nani walikuwa na 'ugomvi' au tuite most 'probable cause' ya kufanya vile kwa marehemu?

Bollen kajiwekea kinga ile kitu inaitwa 'plausible deniability' akiitwa aweze kukana sikumtaja mtu au taasisi.

Bollen siyo mjinga aitaje taasisi au mtu fulani 'explicitly' kwamba ndiyo muuwaji. Wewe pia wala wengi wetu humu JF au mitaani ndani ya TZ hatuwezi vinginevyo tutaishia jela.

Tanzania tunahitaji kusajiri huduma ya wapelelezi binafsi kuweza kuwabaini na kushitaki watuhumiwa kesi kama hizi zenye maslahi na ........

Muandishi amewasaidia kuweka baadhi ya matukio na sehemu zingine dot au dash kwenye sequence ya matukio, sisi wananchi tuhukumu (hukumu ya umma) au wenye kuweza kushitaki wajaze nafasi wazi kuunganisha hiyo sequence waende mahakamani.
 
JokaKuu
 
Kwamba leads zinatoka humu? kwamba wachunguzi hawaelewi chochote wategemee sisi humu tuwape clue? brother.
Kadiri watu wanavyo jadili na kuweka clue wanawaweka hadharani wahusika na kutoa msukumo kwa mamlaka yenye kuwawajibisha ifanye hivyo.
Kunyamaza na kuweka clue kipi bora?
 
ni ipi hukumu ya muhaini au gaidi kwa mujibu wa sheria? kutekwa? kupigwa na kumwagiwa tindikali? kuuwawa kinyama? kama haijakufika au katika familia yako bhs huwezi elewa utabaki kuandika makala ya ajabu kama haya
 
Huyo mwandishi wa mada ametumia tumbo kufikiri.

Kama angekuwa mchanbuzi objectively angeanzia na maneno ya yule kiongozi wa UVCCM Kagera aliyesema tukiwapoteza wapinzani polisi wasiwatafute, huenda aliambiwa nini kitawatokea wale wanaokosoa na huenda alitumwa atoe pre information ya kile kitakachowakuta wapinzani wa aina hiyo.
 
Umendika upumbavu mtupu mimi sio Mwanachadema ila chadema haina uwezo huo zaidi zaidi system iliamua kutumia njia ya kusema chadema wamepanga blah blah sijui kuteka vituo vya police kualalisha mauaji Usenge mtupu dunia ya sasa imebadirika watu wana akili na hii ni kutishana viongozi wa chadema unawezaje kutoa pumzi ya mwenzio wewe utaishi milele
 
Hili la kuvamia vituo walisema polisi wenyewe wiki kama mbili zilizopita
Muulize Godbless Lema kilichomfanya akimbie kwenda kanada ni nini baada ya uchaguzi .Kwani walitaka kufanya nini?

Wazalendo ndani ya Chadema wakafichua siri kidume kikakimbia nchi
 
Duu ndio maana tunaenda kuzika. Mtumeeee
 
Tafakuri!

Kama kibaoalihusika na hayo hasa nadharia hizo!

ni rasmi hakufafanya peke yake bila connection kutoka Kwa surbodinates wake huko jeshini!!!


Labda!
 
Kila jambo linasababu kama ulikuwa mnafiki ukiwa kijana basi ukumbuke kuwa mnafiki ukiwa mzee. Nadhani mwana habari uru amejaribu kuwaelezea vile jinsi humchezo unachezwa inside hivyo tuepuke mlaumu president as if haya ndio mauwaji ya kwanza na tusijisahau kuwa hatuna vyama vya upinzani ila tuna wachumia tumbo ambao ndani ya unafiki wao wameona kuna fursa ambayo hawakuitiwa hiyo. Ninapo wasikia wastaafu wananyanyua midomo yao nawakumbusha kukumbuka viapo vyao nakukubaliana nakile walikianzisha ambacho wakiwa hai kitawaumiza pia. Kama walifikiri kile walikianzisha kilikuwa chema basi wakae kimya. Kule china walimtoa nje rais mstaafu kwenye kikao kizito cha chama wakati dunia ikiona live namwisho tuka sikia amekufa Rais mstaafu wa Taifa kubwa duniani i think no coment. Nadhani mnanielewa. Unafiki haujawahi kumuacha mtu salama Magufuli alijenga chato mama kizimkazi fungua mdomo kama hujaelewa
 
Mashaka ya wengi juu ya Bollen na lengo la hili andiko lake yana msingi yasipuuzwe!

Kuunganisha kwake narration ya viongozi wa CDM kufanya kikao zoom na kifo cha Kibao sio suala la kuchukulia kiwepesi! Anajua anachofanya! Wewe unafanya kikao Zoom? Kila mtu akiwepo kwake akaingia zoom kufanya kikao cha kujadili masuala ya uhalifu mkubwa kama huo na hao polisi wasiwe hata na clip ya sauti?? Hawa polisi wetu ambao weledi wao huwa unaonekana vizuri sana likija jambo la CDM? Sasa hayo yote sio ya msingi lamsingi ni kuwa kwanini Mwandishi amelikoleza wino sana hili jambo?

Hivi ni kweli hamuoni unafiki anaojaribu kuufanya huyu mwandishi? au kisa amewataja kwa kuibua tuhuma kwa polisi pia? Kila mtu amefanya hivyo kipya kipi anafanya Boleni?

Na hiyo paragraph ya mwisho unaona bado ana lengo la kuchokonoa mada?
 
Kama akina mdee walikuwa watumishi wa umma ndani ya chama tuseme nini basi sisi tunao ona huu mchezo
 
Acha ngonjera zako.

Katiba ya JMT 1977 inasema mahakama ndio chombo cha juu kwa utoaji haki nchini.

Hizo story zako za Marekani hapa sio mahala pake.
Uelewa wako ni mdogo sana. Kwani mimi nimekataa kwamba Mahakama si chombo cha juu kwa utoaji haki nchini? Fuatilia kwanza ujue comment yangu hiyo ilikuwa inajibu kitu gani!!
 
Nawaacha na swali hili! Kwa tusiamini kuwa nyuma ya vitendo vya utekaji Chadema haiko nyuma yake kisiasa? Kwa nini hutaki kuamini na kwa nini uamini. Nawatakia tafakuri njema na jadidi. Alamsiki.
Staili ya uandishi; sijui kama hii ndiyo inayo kufanya ujisikie vizuri.
Nime kuelewa ulichotaka kuwasilisha, lakini mtindo wa kuwasilisha taarifa kama hii unaifanya taarifa kuwa ngumu kueleweka..
Uandishi mzuri hauhitaji madoido hata kidogo. Just be straight to the point what you want to conyey to the reader.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…