Kuhusu kuumwa na tumbo la bleed kupita kiasi

Babu mchumi

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
62
Reaction score
11
Habari zenu the great thinkers,

Tafadhali naomba kujulishwa kama kuna dawa inayoweza kupunguza au kuondoa maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi,maana nashindwa kulala na mke wangu akiwa period,hua anatumia buskopan na panadol lakin wapi.

Tafadhali nahitaji msaada wenu ndugu zangu!
 
jaribu na PIROXICAM.
ingawaje dawa kubwa ni kuzaa tuuu akishazaa maumivu hupungua au huisha kabisa na kuendelaea kawaida
 
Habari zenu the great thinkers,

Tafadhali naomba kujulishwa kama kuna dawa inayoweza kupunguza au kuondoa maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi,maana nashindwa kulala na mke wangu akiwa period,hua anatumia buskopan na panadol lakin wapi.

Tafadhali nahitaji msaada wenu ndugu zangu!

Poleni tataizo la hilo linasababishwa na homoni in balance

Kuna dawa snaitajika atumie ina itwa soy... + pedding zenye anion chip f ... Tuwasiliane uw
 
Mke Wangu amepata mstuko alikuwa na mimba Sasa ameanza period kama kuna doctor humu tuwasiliane
 
Muwahishe mgonjwa hospital hilo sio jambo la kutafuta Doctor humu ni hatari.
 
Mke wako anahitaji msaada wa daktari wa wanawake. Nenda kwa mtaalamu halafu baada ya vipimo mtapewa majibu na cha kufanya. Zingatia, inaweza kuwa dalili ya tatizo lingine tofauti.
Habari zenu the great thinkers,

Tafadhali naomba kujulishwa kama kuna dawa inayoweza kupunguza au kuondoa maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi,maana nashindwa kulala na mke wangu akiwa period,hua anatumia buskopan na panadol lakin wapi.

Tafadhali nahitaji msaada wenu ndugu zangu!
 
Dawa zipo za kuponya kabisa maumivu mali wakat wa hedhi
Na unapona kabisa....maeleze zaidi
0714.912390
 
Back
Top Bottom