Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

Dadeq

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
321
Reaction score
188
Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre.

Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo liitwalo safina, kwa st John eneo lao ni zuri sana kwa kuwekeza mall. Eneo liko mjini na kubwa. Wakishirikiana na muwekezaji, watafanya kitu cha maana na kuepuka majengo mengi ya huduma za namna hiyo kukaa barabara ya Dar es salaam.

Sabato njema.

Ndimi dadeq
 
Back
Top Bottom