Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama upuuzi huu ungesemwa na Makonda au Polepole hakuna ambaye angeshangaa , lakini huyu Karia mtu aliyepata urais wa TFF kwa mgongo wa Malinzi tangu lini akawa msemaji wa ccm ?hata akiomba msamaha, moyo wake ulijazwa na umejazwa na alichosema
kama chadema ina amini katika demokrasia ya mtu kusema CHOCHOTE kwa nini HIKI WAMEPANICK??
Sasa huu ndo unafiki wa sisi waTz Sasa kama unajua maovu yake kwanini upo kimya? Au unafaidika nayo niwewe Pia,amekosea ila comment yako inaonyesha na kuthibitisha ujinga wetuWe mwache tu, tutatoa madudu yake yote anayofanya hapo TFF
Huyu ni DED piaKama upuuzi huu ungesemwa na Makonda au Polepole hakuna ambaye angeshangaa , lakini huyu Karia mtu aliyepata urais wa TFF kwa mgongo wa Malinzi tangu lini akawa msemaji wa ccm ?
Nakuhakikishia kwamba akae tayari kudadeki ! uzalendo basi .Atashangazwa siku watu watakapoishangilia Uganda kuelekea AFCON
Nakuhakikishia kwamba akae tayari kudadeki ! uzalendo basi .
tutaona,mtashangaa,itakuwa ccm vs chadema si ndo mnachotaka?Sema wabongo tutasahau si muda mrefu.
Hakuna aliyeusikia huo msamaha mjomba , sisi tulichosikia ni zile kashfa zake tu , aendelee hivyo hivyo tuUnajua karia kabla ya kuwa rais wa TFF alikuwa mkurugenzi wa halmashauri kadhaa.
Maana hiyo alikuwa msimamizi wa uchaguzi kwenye halmashauri alizozisimamia.
Na unajua wakurugenzi wote lazima wawe wana kijani kindakindaki.
Kwahiyo usishangazwe na kauli yake dhidi ya TL.
Ila nimpongeze kwa uungwana wa kukubali kosa na kuomba radhi wengi wanayafanya haya na mabaya zaidi lakin hawaombi rangi.
Hongera karia siku nyingine usirudie hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza uhamasishaji rasmi jua likichomoza tu , ujinga basiSema wabongo tutasahau si muda mrefu.
Take a look at @kwanza_tv's Tweet:Hakuna aliyeusikia huo msamaha mjomba , sisi tulichosikia ni zile kashfa zake tu , aendelee hivyo hivyo tu
Kwanza ni mwizi alikuwa akiiba pamoja na wale waliopo jela lakini yy alikuwa akichukua cash tu ukitaka kujua Ukweli angalia mali alizokuwa nazo sasa haziendani na mshahara wake.We mwache tu, tutatoa madudu yake yote anayofanya hapo TFF
kuna mengi tu hawa jamaa wanataka tuende wanavyotaka,nilikuwa nikisikiaga nikiwa mdogo kuna nchi watu wanachukiana sikujua kwanini nimeelewa sasa,sio suala la msomali wa tff tu kuna mengi mtaani soon tutaanza kutoana bandamaMpira una tuunganisha unatufanya tuwe wamoja kiongozi wa mpira kutoa kauli kama hizo dah kakosea sana, nimepitia sehemu nyingi sana za mitandao watu wameumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na kujutia kosa... Lakini hakufuti kosa la msingi... ASHITAKIWE....!!!Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Sio wa watanzania ni wamashabiki TLKudadeeki huyo msomali anauchezea moto wa watanzania
In God we Trust
Kama yule dogo mwenyekiti wa UVCCM alisema alinukuliwa vibaya.Kuomba radhi inataka guts
Wengine huwa wanazidi kupigilia zaidi pindi wanapokosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hatishiki...Ngoja tuanze kukusanya data na ushahidi
Amuulize Makonda yaliyowahi kumpata Uwanja wa Taifa.Kama hujui nguvu ya wapinzani kawaulize uhuru na mzareendo na tbc
In God we Trust