Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

hata akiomba msamaha, moyo wake ulijazwa na umejazwa na alichosema

kama chadema ina amini katika demokrasia ya mtu kusema CHOCHOTE kwa nini HIKI WAMEPANICK??
Kama upuuzi huu ungesemwa na Makonda au Polepole hakuna ambaye angeshangaa , lakini huyu Karia mtu aliyepata urais wa TFF kwa mgongo wa Malinzi tangu lini akawa msemaji wa ccm ?
 
We mwache tu, tutatoa madudu yake yote anayofanya hapo TFF
Sasa huu ndo unafiki wa sisi waTz Sasa kama unajua maovu yake kwanini upo kimya? Au unafaidika nayo niwewe Pia,amekosea ila comment yako inaonyesha na kuthibitisha ujinga wetu
 
Unajua karia kabla ya kuwa rais wa TFF alikuwa mkurugenzi wa halmashauri kadhaa.

Maana hiyo alikuwa msimamizi wa uchaguzi kwenye halmashauri alizozisimamia.
Na unajua wakurugenzi wote lazima wawe wana kijani kindakindaki.

Kwahiyo usishangazwe na kauli yake dhidi ya TL.

Ila nimpongeze kwa uungwana wa kukubali kosa na kuomba radhi wengi wanayafanya haya na mabaya zaidi lakin hawaombi rangi.
Hongera karia siku nyingine usirudie hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliyeusikia huo msamaha mjomba , sisi tulichosikia ni zile kashfa zake tu , aendelee hivyo hivyo tu
 
We mwache tu, tutatoa madudu yake yote anayofanya hapo TFF
Kwanza ni mwizi alikuwa akiiba pamoja na wale waliopo jela lakini yy alikuwa akichukua cash tu ukitaka kujua Ukweli angalia mali alizokuwa nazo sasa haziendani na mshahara wake.
 
Mpira una tuunganisha unatufanya tuwe wamoja kiongozi wa mpira kutoa kauli kama hizo dah kakosea sana, nimepitia sehemu nyingi sana za mitandao watu wameumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mengi tu hawa jamaa wanataka tuende wanavyotaka,nilikuwa nikisikiaga nikiwa mdogo kuna nchi watu wanachukiana sikujua kwanini nimeelewa sasa,sio suala la msomali wa tff tu kuna mengi mtaani soon tutaanza kutoana bandama
 
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki

Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na kujutia kosa... Lakini hakufuti kosa la msingi... ASHITAKIWE....!!!

Jr[emoji769]
 
Angeita waandishi wa habari ili aombe radhi, nadhani mkitaka kumuita muungwana afanye hivyo. Lakini kwa kauli aliyotumia hana uuungwana wowote.
 
Back
Top Bottom