pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Huyu katu FIFA/CAF haitamuacha kwa uasi aliouanzisha na Lisu! Huyu tunakomaa naye! Mpaka mwisho!Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
Endeleni kukiki uchaguzi 2020Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
Mkimbizi unadhani atakuwa na akili gani akiyakumbuka madhila yake na hali aliyonayo sasa? Lazima apate kibri.League limemshinda. Halina wadhamini.
Kupanga ratiba tu mtihani, hawezi, anapata wapi muda wa kutafuta maadui wengine badala ya kupambana na Changamoto za soka?.
Kwenye viongozi wa Soka huwa tunachemka sana. Tenga na Said El Maamry tu ndio walikuwa na busara na vision ya kutusogeza kisoka. Wengine wahuni tu.
Kama vipi aje akanushe, tuweke mkeka (in Ndugai voice)[emoji38][emoji38]
Aliyoyatamka Karia unayazungumziaje ?!. Je ni sawa kutumia mifano ya majina ya wanasiasa ktk suala lisilohitaji siasa ?!Halafu watu kama hawa unakuta wanadai Tanzania hamna uhuru wa mawazo na kujieleza
Hivi kwa mtu mzima na msomi wawezaje kuzuia wanafamilia yaani watoto na hata mke wako wasiwe na uhuru wa kuamua wanachopenda???? Kwanini uwazuie watoto teema wadogo pengine kuangalia timu ya taifa lao kisa hujasikia unayopenda kuyasikia baba mtu??? Ww sio dikteta????
Ukiona mtu anaweweseka kiasi hili ujue ya kwamba kapatiwa so doziii imeingia vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Which side do you belong?Kwani mechi iliyopita chadema walishangilia timu gani?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
God
Mmh!! Sheria mpya ya takwimu inakuhusu maana si kwa tafiti FAKE kwa kiwango hiki.Hajui tu kuwa zaidi ya 95% ya mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu ni wapenzi wa Tundu Lissu na siasa za CHADEMA, siyo?
Shauri lake. Mdomo uliponza kichwa!!
Kwenye kuomba msamaha ndiyo ameharibu zaidi. Msomali ni zero brain kabisa. Eti TL anaikasfu nchi.Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Acha kumuingiza mkeo na watoto wako kwenye issue za kijinga.Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
Mkuu huenda yupo sahihi, maana kila page kashambuliwa sana huyo mwenyekiti wa TFF pita page ya shafii dauda pale instagram..ona comment karibu 2k zikimnanga WalaceMmh!! Sheria mpya ya takwimu inakuhusu maana si kwa tafiti FAKE kwa kiwango hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app