Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

kauli za kibaguzi zinazidi kuwafanya watanzania kukosa uzalendo dhidi ya CHAMA CHA MAPINDUZI na miradi yake inayowaweka walafi hawa wa madaraka mjini.
.
Lakini tuacheni utani jamani BAO KUMI BILA MECHI MBILI, huyu atakuwa mnyama kweli ? yule aliyetambulishwa majuzi kama wakimataifa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatari sana, atajutia kauli yake, mbaya sana kuingiza siasa kwenye mpira, naona Taifa stars ikikosa washabiki hiv hv,, na mbaya wadhamini wakishaona mvurugano hakuna atakayeingia kudhamini ligi
 
Halafu watu kama hawa unakuta wanadai Tanzania hamna uhuru wa mawazo na kujieleza

Hivi kwa mtu mzima na msomi wawezaje kuzuia wanafamilia yaani watoto na hata mke wako wasiwe na uhuru wa kuamua wanachopenda???? Kwanini uwazuie watoto teema wadogo pengine kuangalia timu ya taifa lao kisa hujasikia unayopenda kuyasikia baba mtu??? Ww sio dikteta????

Ukiona mtu anaweweseka kiasi hili ujue ya kwamba kapatiwa so doziii imeingia vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
Huyu katu FIFA/CAF haitamuacha kwa uasi aliouanzisha na Lisu! Huyu tunakomaa naye! Mpaka mwisho!
 
League limemshinda. Halina wadhamini.

Kupanga ratiba tu mtihani, hawezi, anapata wapi muda wa kutafuta maadui wengine badala ya kupambana na Changamoto za soka?.

Kwenye viongozi wa Soka huwa tunachemka sana. Tenga na Said El Maamry tu ndio walikuwa na busara na vision ya kutusogeza kisoka. Wengine wahuni tu.
Mkimbizi unadhani atakuwa na akili gani akiyakumbuka madhila yake na hali aliyonayo sasa? Lazima apate kibri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu watu kama hawa unakuta wanadai Tanzania hamna uhuru wa mawazo na kujieleza

Hivi kwa mtu mzima na msomi wawezaje kuzuia wanafamilia yaani watoto na hata mke wako wasiwe na uhuru wa kuamua wanachopenda???? Kwanini uwazuie watoto teema wadogo pengine kuangalia timu ya taifa lao kisa hujasikia unayopenda kuyasikia baba mtu??? Ww sio dikteta????

Ukiona mtu anaweweseka kiasi hili ujue ya kwamba kapatiwa so doziii imeingia vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyoyatamka Karia unayazungumziaje ?!. Je ni sawa kutumia mifano ya majina ya wanasiasa ktk suala lisilohitaji siasa ?!

Lugha aliyotumia si nzuri, asafishe hali hewa ktk soka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hajaomba radhi kauli alizotumia kuomba radhi hazitoshi,chadema wasimuache wamchukulie hatua iwe fundisho kwa wengine .Vidio yake iko Instagram mwenye muda ailete humu .Watu waone viroja .
 
Huyu Msomali afukuzwe nchini ndani ya masaa 72...vijana wa uhamiaji mtengenezeeni zengwe..Raisi awe Ammy Ninje
 
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki

Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Kwenye kuomba msamaha ndiyo ameharibu zaidi. Msomali ni zero brain kabisa. Eti TL anaikasfu nchi.
 
Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
Acha kumuingiza mkeo na watoto wako kwenye issue za kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom