Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Polisi ndo jukumu lao kukamata wahalifu wanaofanya kosa la jinai, hata kama wangemkamata Jwtz inatakiwa wampeleke polisi ili taratibu za kumfikisha mahakamani ziendelee, hao usalama unaosema wanamkamata mtu kimya kimya wanavunja sheria hawaruhusiwi kufanya ukamataji kama kweli wanafanya hivyo basi huo ni utekaji.

Maana hata hivyo kosa la kuvaa nguo la jeshi yoyote iwe jwtz, polisi au magereza bila ruhusa ya Rais adhabu yake ni faini elfu 50 au kifungo mwezi mmoja.
 
Mfano mtu anataka combat zake zimeisha anataka mpya anaweza kwenda mgulani wanapo uza akamkuta muuzaji akajitambulia labda MT 13……. Muuzaji anajua huyu ni askar akataja na kikos akamuamini baada ya hapo aka akampa nguo au akamuonyesha kitambulisho tu akampa hapo umenielewa
Oooh kumbe? Kweli rahisi watu kufanya ufedhuli huu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kaka vijana sawa wapo ila umri unakataa ata kama umeingia chomboni ukiwa na elimu ya darasa la saba bado inagoma ata wale formsix wanaoenda kule kumbuka kuna miaka 3 ya kusoma military science bado umri unagoma lazima ukatae kwa miaka 24 pia kuna mwaka mmoja wa pale TMA bado

Kuhus nguo nahisi ni kutokana na kitambulisho uenda alienda kununua izo sare mgulani akaonyesha kitambulisho wakampa au alijitambulisha kwa njia ya simu kuwa p..,,,,,, wakamtambua kuwa ni afisa kumbe sio
In case akamaliza advance akiwa 17yrs old bado mathematically is invalid or valid
 
Dah kitambulisho kimekaa kama kitambulisho cha shule nliposoma O- level.Shida inaweza isiwe kudhibiti ufyatuaji wa vitambulisho maana hata hiyo tech. tunaweza pata lakini wahuni wakafyatua tu vitambulisho.

Jeshi limejengwa na nguzo ya nidhamu.Kama ukiona hadi janja anapata ujasiri wa kuja na wazo la kujipa cheo cha luteni(cheo ambacho watu wanakimbia ile kozi ya kwanza ya luteni usu(kama sijakosea)) ujue nidhamu jeshini inapotea sasa.

Kwamba JW hawana mfumo wa kutambua maafisa wao wanaograduate mpaka dogo anatumia njia za panya kufanikisha kupata kila kitu cha jeshi?
Ndio maana nasema source ipo kwenye vitambulisho na namba za kijeshi
 
Aisee sasa Jeshi linakubali kwanini vijana wakatengeneze? Naona hapo ndio kuna tatizo kubwa
Ila ndio Africa, kutokutilia vitu maanani ndio hulka ya viongozi wengi
Yaani mradi liende tu
Wabadilishe waanze na vitambulisho
 
Halafu hujui hata unachokizungumzia hapa.
Kwa mujibu wa TPDF kijana mwenye elimu ya kidato cha sita anakuwa na sifa ya kupewa mafunzo ya uafisa. Halafu sasa hivi kuna vijana wengi tu wanamaliza form six na miaka 18. Kwahiyo akijiunga na jeshi na kupewa kozi ya miaka 3 ya military science au ile kozi ya mwaka mmoja tayari anakuwa lieutenant.
Hao usalama mnawatukuza bure tu.
Bure kabisa.
Mikataba mingapi serikali imeingia hasara ya mabilioni huku hao usalama wapo tu wanapigwa na viyoyozi.
Kuna jambo la muhimu kuliko uchumi wa nchi?
Uchumi wa nchi ukitetereka na nchi inatetereka, hakuna bunduki au askari anayeweza kumdhibiti mtu ambaye kula yake ya shiida . Sema tu Watanzania wajinga fulani.
TISS nitawakubali mpaka nione wameweza kuzuia ulaghai kwenye rasilimali za nchi.
Sasa hivi mkoa mmoja tu ukienda unakuta migodi zaidi ya 20 wachina wanachimba madini.
Imputs za maana hakuna
 
Hao wanaochimba wachina lazima watakuwa na kibali na kuna jambo TISS anaweza lifumbua then serikali wasichukue hatua ilaumu uongozi wako wa serukali mlio ichagua
 
Halafu hujui hata unachokizungumzia hapa.
Kwa mujibu wa TPDF kijana mwenye elimu ya kidato cha sita anakuwa na sifa ya kupewa mafunzo ya uafisa. Halafu sasa hivi kuna vijana wengi tu wanamaliza form six na miaka 18. Kwahiyo akijiunga na jeshi na kupewa kozi ya miaka 3 ya military science au ile kozi ya mwaka mmoja tayari anakuwa lieutenant.
Hao usalama mnawatukuza bure tu.
Bure kabisa.
Mikataba mingapi serikali imeingia hasara ya mabilioni huku hao usalama wapo tu wanapigwa na viyoyozi.
Kuna jambo la muhimu kuliko uchumi wa nchi?
Uchumi wa nchi ukitetereka na nchi inatetereka, hakuna bunduki au askari anayeweza kumdhibiti mtu ambaye kula yake ya shiida . Sema tu Watanzania wajinga fulani.
TISS nitawakubali mpaka nione wameweza kuzuia ulaghai kwenye rasilimali za nchi.
Sasa hivi mkoa mmoja tu ukienda unakuta migodi zaidi ya 20 wachina wanachimba madini.
Imputs za maana hakuna
Umri pia unazingatiwa
 
Kanyaga twende.🤣🤣
Mimi naona bora wangetengeneza vitambulisho viwili kimoja cha askar kinachomtambulisha ni askari kingine ni cha briged kidogo hapo kungekuwa na ugumu

Pia nguo zingekuwa zinauzwa vukosini ofisi za QM au briged lakini pia kwa navyosikia uyo kijana alikuwa sm pale mgulani na akawa kitengo nyeti sana.
 
Polisi ndo jukumu lao kukamata wahalifu wanaofanya kosa la jinai, hata kama wangemkamata Jwtz inatakiwa wampeleke polisi ili taratibu za kumfikisha mahakamani ziendelee, hao usalama unaosema wanamkamata mtu kimya kimya wanavunja sheria hawaruhusiwi kufanya ukamataji kama kweli wanafanya hivyo basi huo ni utekaji.

Maana hata hivyo kosa la kuvaa nguo la jeshi yoyote iwe jwtz, polisi au magereza bila ruhusa ya Rais adhabu yake ni faini elfu 50 au kifungo mwezi mmoja.
Naelewa ila mimi nilichokuwa natamani ni kwamba Jwtz ingekuwa ya kwanza kujua ilo kwa taarifa ambazo nilizo sikia za uyo kijana
 
Shida sio kuwa luteni kwa miaka 24. Kuna vijana wengi tu kwa sasa wana nyota mbili. Ninachojiuliza huyo Emmanuel alitoa wapi zile sare, badge pamoja na baadhi ya nyaraka za kambi aliyodai anatokea
📌📌📌Hili ndo swali la msingi,sekondari mpaka chuo kikuu!!!
 
Hapa hapa Kaka ,Mimi PM yangu nashindwa kusoma meseji
Mchele uloweke kama dakika kumi na tano kama utataka kubrand uta fanya ivyo baada ya mchele kuloweka theni kama utataka kutumia nazi basi utachuja nazi yako utaweka jikoni kama una iriki utaweka pamoja na mdalasini kidogo kisha utaacha uive uku unakoraga pole pole pia kama utakosa utataka kutumia maji pia utafanya ivyo
 
Back
Top Bottom