PreGE2025 Kuhusu madai ya kubeba wanachama wa CCM. Polisi Simiyu wasema walisaidia kubeba Wananchi walioharibikiwa gari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya Itilima kuelekea Bariadi kwa kazi maalum. Katika Kijiji cha Budalabujiga, askari walilikuta gari jingine lenye namba T.356 AAK, mali ya Kampuni ya Allince, likiwa limeharibika.

1742738066818.png
Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Itilima, aliyekuwa kwenye gari hilo la polisi, aliamuru kusimamisha ili kufahamu hali ya abiria waliokuwa kwenye gari lililoharibika. Wananchi waliokuwa kwenye gari hilo walieleza kuwa walikuwa wakisafiri kuelekea Bariadi na waliomba msaada wa usafiri kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na mvua.

Pia, Soma: RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

Kutokana na hali hiyo, na kwa kuzingatia wajibu wa Jeshi la Polisi wa kulinda usalama wa raia na mali zao, Mkuu wa Upelelezi aliruhusu wananchi hao kupanda gari la polisi na kuwafikisha Bariadi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limeeleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni msaada wa kibinadamu na si kubeba wanachama wa chama chochote cha siasa kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii. Polisi wamewataka wananchi kuzingatia ukweli na kuepuka kusambaza taarifa zisizo sahihi zinazoweza kuchochea taharuki.

photo_2025-03-23_16-30-49.jpg
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya Itilima kuelekea Bariadi kwa kazi maalum. Katika Kijiji cha Budalabujiga, askari walilikuta gari jingine lenye namba T.356 AAK, mali ya Kampuni ya Allince, likiwa limeharibika.

Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Itilima, aliyekuwa kwenye gari hilo la polisi, aliamuru kusimamisha ili kufahamu hali ya abiria waliokuwa kwenye gari lililoharibika. Wananchi waliokuwa kwenye gari hilo walieleza kuwa walikuwa wakisafiri kuelekea Bariadi na waliomba msaada wa usafiri kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na mvua.

Pia, Soma: RPC Simiyu tueleze Je? PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

Kudadadeki
Polisi na Amosi Makalla wakasome VETA
 
Bagonza amewaamusha
 
Wema hauangalii itikadi, wema umetumika, ni wakati wa kufunga midomo. Somo limeeleweka.
 
Isijekuwa lilikuwa agizo la mwenyekiti wa chama mkoa.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limetolea ufafanuzi kuhusu wanachama wa CCM waliobebwa na gari la Polisi baada ya Mdau kuhoji kuhusu suala hilo.

RPC Simiyu tueleze Je? PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?
​
1742740326435.png

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari la Polisi kutumika kubeba
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Machi 22, 2025.

Naomba ifahamike kuwa mnamo tarehe 22, Machi, 2025 gari la Polisi lenye namba PT.4342 iliyokuwa ikitoka Wilaya ya Itilima kwenda Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu kwa kazi maalum, ilipofika maeneo ya Kijijt cha Budalabujiga wallikuta gari namba T.356 AAK aina ya scania mali ya Kampuni ya Allince iliyokuwa ikiendeshwa na Yusuph Mayenga likiwa limeharibika.

Hata hivyo Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Itilima ambaye alikuwa katika gari hilo la Polisi alimuamuru dereva wa gari la Polisi kusimamisha gari ili kujua wananchi hao walikuwa na tatizo gani, ndipo wananchi hao walieleza kuwa walikuwa wameharibikiwa na gari walilokuwa wakisafiria na wakaomba msaada wa usafiri kwenye gari hiyo ya Polisi. Kwa kuwa hali ya hewa ilikuwa ya mvua, Mkuu wa Upelelezi alimua kutoa msaada kwa watu hao na kuwafikisha Bariadi ambako gari hilo lilikuwa linaekea.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linakanusha kuwa halikubeba wanachama wa chama mapinduzi bali lilitekeza wajibu wake wa kisheria wa kulinda usalama wa raia na mali zao.​
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya Itilima kuelekea Bariadi kwa kazi maalum. Katika Kijiji cha Budalabujiga, askari walilikuta gari jingine lenye namba T.356 AAK, mali ya Kampuni ya Allince, likiwa limeharibika.

Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Itilima, aliyekuwa kwenye gari hilo la polisi, aliamuru kusimamisha ili kufahamu hali ya abiria waliokuwa kwenye gari lililoharibika. Wananchi waliokuwa kwenye gari hilo walieleza kuwa walikuwa wakisafiri kuelekea Bariadi na waliomba msaada wa usafiri kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na mvua.

Pia, Soma: RPC Simiyu tueleze Je? PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

Kutokana na hali hiyo, na kwa kuzingatia wajibu wa Jeshi la Polisi wa kulinda usalama wa raia na mali zao, Mkuu wa Upelelezi aliruhusu wananchi hao kupanda gari la polisi na kuwafikisha Bariadi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limeeleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni msaada wa kibinadamu na si kubeba wanachama wa chama chochote cha siasa kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii. Polisi wamewataka wananchi kuzingatia ukweli na kuepuka kusambaza taarifa zisizo sahihi zinazoweza kuchochea taharuki.

Walishasema tangu zamani kuwa,NA SISI TUMO.CCM HAISHINDI KWA KUPIGIWA KURA TU NA WENYE SALUTE TUMO.
 
Attachments

  • FB_IMG_1741369124052.jpg
    FB_IMG_1741369124052.jpg
    40.8 KB · Views: 39
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya Itilima kuelekea Bariadi kwa kazi maalum. Katika Kijiji cha Budalabujiga, askari walilikuta gari jingine lenye namba T.356 AAK, mali ya Kampuni ya Allince, likiwa limeharibika.

Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Itilima, aliyekuwa kwenye gari hilo la polisi, aliamuru kusimamisha ili kufahamu hali ya abiria waliokuwa kwenye gari lililoharibika. Wananchi waliokuwa kwenye gari hilo walieleza kuwa walikuwa wakisafiri kuelekea Bariadi na waliomba msaada wa usafiri kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na mvua.

Pia, Soma: RPC Simiyu tueleze Je? PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

Kutokana na hali hiyo, na kwa kuzingatia wajibu wa Jeshi la Polisi wa kulinda usalama wa raia na mali zao, Mkuu wa Upelelezi aliruhusu wananchi hao kupanda gari la polisi na kuwafikisha Bariadi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limeeleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni msaada wa kibinadamu na si kubeba wanachama wa chama chochote cha siasa kama inavyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii. Polisi wamewataka wananchi kuzingatia ukweli na kuepuka kusambaza taarifa zisizo sahihi zinazoweza kuchochea taharuki.

Hakuna sababu ya Polisi kuomba msamaha au kutoa uafafanuzi. Wana CCM ni wananchi wa Tanzania na wanastahili kusaidiwa kama Watanzania wengine.
 
vp kama wangekuwa wazee wa pipoooozi
najaribu kufikiri tu
Hao wangeachwa tu barabarani, kwa sababu badala ya kuomba msaada wa usafiri, wangeanza kurusha matusi kwanza, na pili wangetaka kulipopoa gari kwa mawe, wasivyo na adabu wapuuzi wale. Aliyewaita Nyumbu alipatizia kabisa.
 
Back
Top Bottom