Ulivyo zuzu hata tafsiri ya id yako huijui,ccm mmejaa majinga matupuHao wangeachwa tu barabarani, kwa sababu badala ya kuomba msaada wa usafiri, wangeanza kurusha matusi kwanza, na pili wangetaka kulipopoa gari kwa mawe, wasivyo na adabu wapuuzi wale. Aliyewaita Nyumbu alipatizia kabisa.