Ulivyo zuzu hata tafsiri ya id yako huijui,ccm mmejaa majinga matupuHao wangeachwa tu barabarani, kwa sababu badala ya kuomba msaada wa usafiri, wangeanza kurusha matusi kwanza, na pili wangetaka kulipopoa gari kwa mawe, wasivyo na adabu wapuuzi wale. Aliyewaita Nyumbu alipatizia kabisa.
1. ID yangu ni jina langu - Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde.Ulivyo zuzu hata tafsiri ya id yako huijui,ccm mmejaa majinga matupu
Tulia acha mihemko,unajua asili ya jina lako?1. ID yangu ni jina langu - Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde.
2. Mambo ya ID yanatokea wapi tena wakati tunajadili usafiri?
3. Yani wewe ndio wale nyumbu typical kabisa, ambao hufuata mkumbo tu kwa kila kitu!
Wanatembea na Ilani za CCM.Ges ra porisi
Tunajadili usafiri, hatujadili majina kwenye hii post. Hivi wewe ......??!Tulia acha mihemko,unajua asili ya jina lako?
Kama tunajadili post ni kuhusu polisi kubeba mbogamboga wewe ukawarukia wenzio wa cdm,ni akili ama uzuzuTunajadili usafiri, hatujadili majina kwenye hii post. Hivi wewe ......??!
Wangebebwa ila breki ya kwanza selo!!vp kama wangekuwa wazee wa pipoooozi
najaribu kufikiri tu
🤣🤣🤣🤣Wangebebwa ila breki ya kwanza selo!!
Ujinga unakusumbua. Hujui hata kufuatilia posts zinaendaje, unarukia juu juu tu. Nenda kaangalie niliyemnukuu aliandika nini.Kama tunajadili post ni kuhusu polisi kubeba mbogamboga wewe ukawarukia wenzio wa cdm,ni akili ama uzuzu
😂🤨Wangewapita kama hawawaoni yaani, ila kwa kuwa ni mboga mboga tunalinda raia! Unafiki nchi hii ni wa kiwango cha PhD!
Uwezo wako wa kufikiri ndo umefika mwisho.Hao wangeachwa tu barabarani, kwa sababu badala ya kuomba msaada wa usafiri, wangeanza kurusha matusi kwanza, na pili wangetaka kulipopoa gari kwa mawe, wasivyo na adabu wapuuzi wale. Aliyewaita Nyumbu alipatizia kabisa.