Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

Kwenye ulimwengu wa kiroho hakuna kitu cha bure, THE LAW OF PAYING COST
 
Umeandika kitu halisi..... Watu wengi wanasahau utukufu wao, huwa unaambatanishwa na pale ulipo na ndio maana, swali unaambatana na nani ni la msingi sana....
 
Umeandika kitu halisi..... Watu wengi wanasahau utukufu wao, huwa unaambatanishwa na pale ulipo na ndio maana, swali unaambatana na nani ni la msingi sana....
100% correct
 
Yanga uchawi umewababa Sana mganga wao ni shwahiba wangu haswa!! Amewashauri wazae jezi nyeusi kweli hata mamaelod atafungwa 3 bila jamaa kanitonya!!
 
Ndani ya miaka mchache yanga itapata pigo kubwa Sana Sana hamtaamini inweza poteza wachezaji wooite !! Kafara litajibu!!
 
Interest yangu ipo tu kwenye hiyo dawa ya mapenzi sijali hata kama nikifa masikini poa ila nikiipata jiyo ya mapenzi hapo sawaaa
 
Back
Top Bottom