Kuhusu mahakama ya ICC

Kuhusu mahakama ya ICC

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Wakuu mimi kama mtanzania mpenda haki,naomba kujuzwa kuhusu utendaji kazi wa mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu (ICC) ,je ni hatua zipi za kufuatwa ili niweze kutuma malalamiko yangu na ushahidi dhidi ya watuhumiwa .kwa mara ya kwanza nilikutana na rais Uhuru Kenyata, jijini Mombasa ,nilipata kuhudhuria kikao ambacho alikiandaa ,nikapata bahati adhimu kabisa ya kushikana nae mikono (handshake) lakini almost wanachama pale tulibaini rais hakuwa na furaha kwani alikuwa ajiandaa kuhudhuria kesi ya yake the HAGUE ,kesi ambayo imemgharimu mabilion ya dollar.alikuwa mwenye muonekano wa upole na mashaka mengi usoni mwake.sasa nauliza je ni taratibu zipi za kufuata ilikumpeleka mtuhumiwa au watuhumiwa katika mahakama ambayo imeonekana kuwa kimbilio la wanyonge ya ICC

falcon mombasa
 
Last edited by a moderator:
Asee kweli jamaa yangu hata mim nataka kumpeleka ocd wangu mbogami! Keshanitesa sana
 
Wakuu mimi kama mtanzania mpenda haki,naomba kujuzwa kuhusu utendaji kazi wa mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu (ICC) ,je ni hatua zipi za kufuatwa ili niweze kutuma malalamiko yangu na ushahidi dhidi ya watuhumiwa .kwa mara ya kwanza nilikutana na rais Uhuru Kenyata, jijini Mombasa ,nilipata kuhudhuria kikao ambacho alikiandaa ,nikapata bahati adhimu kabisa ya kushikana nae mikono (handshake) lakini almost wanachama pale tulibaini rais hakuwa na furaha kwani alikuwa ajiandaa kuhudhuria kesi ya yake the HAGUE ,kesi ambayo imemgharimu mabilion ya dollar.alikuwa mwenye muonekano wa upole na mashaka mengi usoni mwake.sasa nauliza je ni taratibu zipi za kufuata ilikumpeleka mtuhumiwa au watuhumiwa katika mahakama ambayo imeonekana kuwa kimbilio la wanyonge ya ICC

falcon mombasa

Mkuu falcon mombasa,kwanza pole na hongera kwa kuendelea na juhudi za kutaka kulikomboa taifa letu nami nakuahidi kuwa tupo wote ktk juhudi hizo,naona tuanze kwa kutumia mitandao kucheki address ya icc,then baada ya hapo ndio tutaanza na kufanikiwa kupata full details za icc hata na kuwasiliana na bi Fatou Bensouda,tusichelewe wakati ni sasa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watanzania tunaona ni kwa namna gani SISIEM wanabaka demokrasia nchini,
Hakika hebu nifanye research kidogo then nitarudi tushirikiane kwa hili
 
Wala huna haja ya kumpeleka yeyote, wao wenyewe washatoa tamko wanaifuatilia Tanzania, mlishajiponza kwa kuridhia sheria yao nchini mwenu. Hapo hamna pakutokea na mkilianzisha tu, inakula kwenu.

Ila kama unajiona mbabe na mwenye ubavu wa kuhimili mapigo, mwenyewe wapeleke wenzio ICC, soma hii link hapa na kama Kingereza kitakutatiza, nieleze nikutafsirie baadhi ya sehemu muhimu https://en.wikipedia.org/wiki/Complaints_to_the_International_Criminal_Court
 
Nafikiri ni wakati sahihi kwa icc kuiangalia tanzania haswa ccm katika jicho la tatu
 
Wakuu mimi kama mtanzania mpenda haki,naomba kujuzwa kuhusu utendaji kazi wa mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu (ICC) ,je ni hatua zipi za kufuatwa ili niweze kutuma malalamiko yangu na ushahidi dhidi ya watuhumiwa .kwa mara ya kwanza nilikutana na rais Uhuru Kenyata, jijini Mombasa ,nilipata kuhudhuria kikao ambacho alikiandaa ,nikapata bahati adhimu kabisa ya kushikana nae mikono (handshake) lakini almost wanachama pale tulibaini rais hakuwa na furaha kwani alikuwa ajiandaa kuhudhuria kesi ya yake the HAGUE ,kesi ambayo imemgharimu mabilion ya dollar.alikuwa mwenye muonekano wa upole na mashaka mengi usoni mwake.sasa nauliza je ni taratibu zipi za kufuata ilikumpeleka mtuhumiwa au watuhumiwa katika mahakama ambayo imeonekana kuwa kimbilio la wanyonge ya ICC

falcon mombasa

mkuu kuna kitu inaitwa the rome statute ndo inaelezea kila kitu.

Kwa faida yako unaweza kupitia na statute ya " United Nation security council " kupata utofauti.

Ref. Prof mathias sainkuye.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuna kitu inaitwa the rome statute ndo inaelezea kila kitu.

Kwa faida yako unaweza kupitia na statute ya " United Nation security council " kupata utofauti.

Ref. Prof mathias sainkuye.

Sawa wacha niifuatilie mimi ni mfuatiliaji kwelikweli
 
Back
Top Bottom