falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu mimi kama mtanzania mpenda haki,naomba kujuzwa kuhusu utendaji kazi wa mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu (ICC) ,je ni hatua zipi za kufuatwa ili niweze kutuma malalamiko yangu na ushahidi dhidi ya watuhumiwa .kwa mara ya kwanza nilikutana na rais Uhuru Kenyata, jijini Mombasa ,nilipata kuhudhuria kikao ambacho alikiandaa ,nikapata bahati adhimu kabisa ya kushikana nae mikono (handshake) lakini almost wanachama pale tulibaini rais hakuwa na furaha kwani alikuwa ajiandaa kuhudhuria kesi ya yake the HAGUE ,kesi ambayo imemgharimu mabilion ya dollar.alikuwa mwenye muonekano wa upole na mashaka mengi usoni mwake.sasa nauliza je ni taratibu zipi za kufuata ilikumpeleka mtuhumiwa au watuhumiwa katika mahakama ambayo imeonekana kuwa kimbilio la wanyonge ya ICC
falcon mombasa
falcon mombasa
Last edited by a moderator: