Kuhusu majimbo 15 ya NCCR baada ya Uchaguzi Mkuu haya hapa

Kuhusu majimbo 15 ya NCCR baada ya Uchaguzi Mkuu haya hapa

"Dunia simama ili Mbatia ashuke" alisikika mlevi mmoja akipayuka.
 
Idadi ya kura alizopata mgombea uraisi kwenye uchaguzi mkuu zinawezesha chama kupata ruzuku kubwa ya fedha toka serikalini na hivyo kuimarisha chama. Hichi ndicho alikifanyia Lowasa chama cha chadema.

Pili Mbatia akigombea urais itamuwezesha kufanyia kampeni chama chake nchi nzima na hivyo kuwezesha chama chake kupata wabunge wengi. Akigombea ubunge wa Vunjo hatapata nafasi hiyo ya kuzunguka nchi nzima kunadi chama chake. Lowasa alipozunguka nchi nzima ndiyo alipoiwezesha CDM kupata wabunge wengi. ACT wanatamani Membe akifanyie hivyo chama chao ili angalao waweze kupata wabunge wawili toka Tanzania bara!

Nani atampigia kura nccr watu wanajitambua puppet huyo kashaliwa shingo na ccm.
 
Back
Top Bottom