Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,268
- 4,064
Wajamaa wameshasema majoka. Kiuharisia kuhusu hiyo tufani inayoitwa msoke umepatia. Kwanza ni mengi mno kiasi kwamba kama ni masika huwezi maliza siku mbili bila kuiona. Sasa haya majoka yasiyoonekana kila mara haya ndo tunataka tuyajueMkuu Kama kweli wewe NI MVUVI naomba ujazie nyama hapo kwa nili yo sahau!
Mfano; kujikata kidole damu zikitoka una........
Ah jamaa kaeleza vizuri sana ila kinachoongelewa hapa ni majoka siyo tufani(msoke) aliyoelezea jamaa.Mkuu, tafadhali share nasi unavyo fahamu, kwa heshima na taadhima, nakuomba.
Teh. Njia ni nyingi mno japo nahiyo ni moja wapo.Kumbe magovi nayo yanafaida huko majini[emoji1]
Hizi ni tornadoes au waterpouts ni tofauti kabisa na majoka yanayozungumziwa. Hayo majoka yanaonekana waziwazi na minyororo yake.Hi mada ishawahi nzungumzwa hapa JF vizuri ki sayansi . Hamna cha majoka wala nini sema hadidhi za kusimuliwa tuu hizo. Ni jambo la Geographia hilo kwa upepo kutolea baharini hata maeneo yenye biom moja kama Jangw,Misitu,Maji(bahar,ziwa n.k).View attachment 1479792
Story za vijiweni hizo. Hebu picha zake au video yoyote na sio ya kutengenezwa ioneshwe... Ki ukwel mambo mengi tulihadithiwa na wazee zamani ila hayana ukweli ... Ni sawa na ile sijui kuna samaki Nguva eti upande wa juu ni mwanamke mrembo( mtu )... Hapo ni kwamba waliona hiyo tornado wakaumbia story..Hizi ni tornadoes au waterpouts ni tofauti kabisa na majoka yanayozungumziwa. Hayo majoka yanaonekana waziwazi na minyororo yake.
Siku buku+mojaalfu Lela ulela