Kuhusu matatizo ya Dotto Biteko tunahitaji Metropolitan Police

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.

Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake?

Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin Roy kutoka Scotland Yard. Oh,we still remember!

Vinginevyo, you will alienate the Civil Service. You will alienate the whole Civil Service. You will aluenate the Civil Service and enstrange it from the Lady President.

What will happen if you alienate the Civil Service? Nothing. Except that it will be a black mark against the President.

Na mimi nilicomment dhidi ya Dotto Biteko.(hapa JF)

Nikaambiwa,"We ni mshamba. Umesahau jinsi tulivyomfanya rafiki yako Yesu. Tulimsulubu.

Now that is no way to talk about the Good Lord Jesus.

Sasa nasema,"Don't shoot the messenger. Just bring in Scotland Yard."
 
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +,Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.
Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake?
Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin Roy kutoka Scotland Yard. Oh,we still remember!
Vingibevyo,you will alienate the Civil Service. You will alienate the whole Civil Service. You will aluenate the Civil Service and enstrange it from the Lady President.
What will happen if you alienate the Civil Service? Nothing. Except that it will be a black mark against the President.
Na mimi nilicomment dhidi ya Dotto Biteko.(hapa JF)
Nikaambiwa,"We ni mshamba. Umesahau jinsi tulivyomfanya rafiki yako Yesu. Tulimsulubu"
Now that is no way to talk about the Good Lord Jesus.
Sasa nasema,"Don't shoot the messenger. Just bring in Scotland Yard."

"Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake", je ni nini kimetokea? Hebu ongeza nyama kidogo maana hii habari kwa wengi ni mpya.
 
Enzi za mwalimu Nyerere, kuna mtanzania mwenye asili ya asia pia aliwahi kumuua mkewe kwa lengo la kudai fidia kubwa ya bima, serikali iliwaita hao hao Scotland Yard.
Hiyo naikumbuka. Yule baba mhindi alisema kuwa alikuwa akisafiri na mkewe toka Songea kuelekea Dar, walipofika milima ya Lukumburu, gari liliporomoka na kutumbukia korongoni, na kudai kuwa mkewe alifariki, na yeye kunusurika.

Wachunguzi baada ya kuchunguza kwa kinywa, walikuja kutoa taarifa kuwa marehemu aliuawa huko Songea, maiti ikibebwa toka Songea mpaka Lukumburu, kisha gari lilisukumizwa bondeni likiwa na mwili wa marehemu, na yule baba akajichubua kidogo ili kudanganya kuwa alikuwemo kwenye gari wakati likidondojea huko korongoni. Muuaji akahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
 
Kuchunguza kwa kinywa?
 
Sielewi chochote. Habari imekaa kimtego kimtego tu. Imeandikwa kana kwamba wasomai wote tunaijua habari yenyewe kumbe ndiyo tunahabarishwa kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom