Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waufungue we huoni uzi umefungwa??Umewaita wafunge uzi?
Ile habari ya Biteko kubishana na msaidizi wake,nadhani ilitokea wamato mimi sipo JF. Upo wakati pale nilikuwa suspended for a year ,or a few years,I don't remember. Suspended,not by JF,ila hackers walikuwa wanaleta fujo."Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake", je ni nini kimetokea? Hebu ongeza nyama kidogo maana hii habari kwa wengi ni hapia.
We ni chawa umetumwa kupima upepoIle habari ya Biteko kubishana na msaidizi wake,nadhani ilitokea wamato mimi sipo JF. Upo wakati pale nilikuwa suspended for a year ,or a few years,I don't remember. Suspended,not by JF,ila hackers walikuwa wanaleta fujo.
Kwa hiyo nimeandika hii comment kuhusu Scotland Yard,ambayo actually sikujua kwamba posting was successful,kwa sababu simu yangu ilikuwa inanihangaisha.
Kwa hiyo for two days I was offline,kumbe sijui I am on air.
It is none of my business,lakini nadhani there is too much blah blah mpaka watu wanashindwa kuelewa kwamba makosa mengine hayatakiwi kutendwa.
Kwa mfano hapa unaona polisi wanakimbizana na watu wanataka: kuiangusha serikali. Je,sio jambo serious kutaka kuiangusha serikali?
Au yule Mwendazake,it was claimed somebody poisoned him. Foolish words,yeah,but has ayone bothered to investigate? Why was it somebody whose task it was to decorate the coffin died within seven days of the burial of Mwendazake?