OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hao maneno niyakutengeneza
Kama Simba ilivyowaingiza gharama utopolo kwa Aziz KiHao maneno niyakutengeneza
Jamaa mjanja sana huyo
Simba wametegwa wamejaa kama kwa sawa dogo tena.
Hakuna mchezaji aliyeibiwa airport
Azizi ajawaingiza yanga gharama yeyoteKama Simba ilivyowaingiza gharama utopolo kwa Aziz Ki
Gharama yake ya usajili haiendani na mchango wake uwanjaniAzizi ajawaingiza yanga gharama yeyote
Lakini si uliona alivyomuwasha Manula goli lisilo na mbambamba..!!??Kama Simba ilivyowaingiza gharama utopolo kwa Aziz Ki
π€£π€£π€£π€Simba ukiachilia soka safi pia Ni "MAMAFIA" [emoji23]
Vipi shuti la Kibu D rasta man dhidi ya mdaka magimbi[emoji1][emoji1]Lakini si uliona alivyomuwasha Manula goli lisilo na mbambamba..!!??
Kwani Kibu naye umesema mlilipishwa gharama kubwa? SIjaona uhusiano wa komenti yako na mdaka matatizo ya watuVipi shuti la Kibu D rasta man dhidi ya mdaka magimbi[emoji1][emoji1]
Nadhani ulinijibu kikanjanja nami nimekujibu kitanzania tu.Kwani Kibu naye umesema mlilipishwa gharama kubwa? SIjaona uhusiano wa komenti yako na mdaka matatizo ya watu
Msimu huu ndo atawafunga mdomo watuGharama yake ya usajili haiendani na mchango wake uwanjani
We mdada nimekupendaπ€£π€£π€£π€
Mdada hujambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Niko poaMdada hujambo
Limshangaz limekufanyaje tena?We mdada nimekupenda
Nikiliaga tu jumanne, ntakuchekiLimshangaz limekufanyaje tena?