To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SadNikiliaga tu jumanne, ntakucheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SadNikiliaga tu jumanne, ntakucheki
Mimi ni Simba lakin nakwambia haya mambo walianza Yanga....kuna mchezaji anaitwa Mbui Twite...walimpora airportSimba ukiachilia soka safi pia Ni "MAMAFIA" [emoji23]
Endelea kudhaniNadhani ulinijibu kikanjanja nami nimekujibu kitanzania tu.
SahihiGharama yake ya usajili haiendani na mchango wake uwanjani
Kwa hiyo mlitoa milioni karibia mia sita ili aje amfunga goli moja tu Manula? Baada ya hapo hajamfunga tena?Lakini si uliona alivyomuwasha Manula goli lisilo na mbambamba..!!??
Goli la Aziz Ki linakutepeleka confederationKwa hiyo mlitoa milioni karibia mia sita ili aje amfunga goli moja tu Manula? Baada ya hapo hajamfunga tena?