OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa
πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ukifikiri utaona machozi. Hujui kilio cha mtu mzima.Hivi platinum member beji mtu anapewa kwakutoa pesa au kuwa na utofauti na uelewa mpana? Maana huyu jamaa huwa namfananisha na Juma Lokole, Sasa hapo Kuna mahali Hersi Amelia? Au umechukua kipande ambacho anawahoji waandishi wahabari?
Kabisa mkuuHiyo hata Yanga wamewahi kufanya umafia kwa Mbuyi Twite alikuwa anaenda Simba, Chelsea wamewahi kufanya kwa John Mikel wakati anaenda Manchester United.
Issue ni hela suala la credibility linaonwa na familia yake.
Unapolisha familia basi hiyo ndio credibility tosha.
ππ Simba Mungu anawaona ety!
Ni mchezaji yupi kaibiwa na simba akiwa airport na alikuwa anatokea wapi?
Mfano, Akiitwa akawe CEO timu kubwa south Africa hataiacha Yanga ghafla? Mr credibility.
Kuiacha Yanga ukiwa na mkataba nao na kwenda Kaizer ghafla ni kukosa credibility na si kuiacha Keizer bila mkataba official na kwenda Orlando ghafla. Kama hajasaini mkataba ni sawa kuopt dili poa zaidi.Akiitwa akawe CEO Kaizer, kufika pale Johannesburg, Oliver (Reginald Kaizana )Tambo International Airport adakwe na viongozi wa Orlando, credibility itakua haipo.
YAANI WEWE makwega7 unauza gari lako kwa Juma, Juma anakutumia pesa ya mafuta ulipeleke anunue njiani unakutana na Tsh nikupe ofa mara mbili halafu useme hapana wewe una credibility huchepuki? Huko ni kuingiza mihemko kwenye biashara. Option zinafungwa baada ya kusign papers not beforeIssue sio kuondoka ghafla ni kuchepuka ndicho alichomaanisha.
Demu umuite kufika getto akutane na rafiki yako halafu ampe mzigo yeye, wakati wewe umetoka kidogo kutafuta ndomu.
Kuiacha Yanga ukiwa na mkataba nao na kwenda Kaizer ghafla ni kukosa credibility na si kuiacha Keizer bila mkataba official na kwenda Orlando ghafla. Kama hajasaini mkataba ni sawa kuopt dili poa zaidi.
YAANI WEWE makwega7 unauza gari lako kwa Juma, Juma anakutumia pesa ya mafuta ulipeleke anunue njiani unakutana na Tsh nikupe ofa mara mbili halafu useme hapana wewe una credibility huchepuki? Huko ni kuingiza mihemko kwenye biashara. Option zinafungwa baada ya kusign papers not before
Demu kama ulimuahidi pesa au maisha poa au raha na rafiki yako akapanda dau ni sawa tu. Tutashangaa kama mkeo akifanya hivyo ila demu hana official contract na wewe. Hata alipokuja kwako huenda kuna aliyeachwa kwenye mataa.
Mkuu, Mikataba ipo sababu makubaliano ya mdomo hayawezi pima credibility. haujui waliambiana nini, unachojua hawana mkataba hivyo ni mtu unayeweza fanya naye kazi.Sikua nimeelewa neno ghafla ulimaanisha nini. Niliweka assumption kuwa aliondoka kwenda kutafuta green pasture baada ya kukubaliana na mwajiri wake kumbe sivyo. Kwa hali hiyo nakubaliana nawe kuwa credibility haitakuwepo. Hiyo ya kuiacha Keizer kwa namna hiyo haitamjengea credibility hata huko Orlando, itaonekana ni mtu anaenunulika kirahisi.
Nothing personal, its business. Hakuna credibility inayopotea hapo.Kwenye mfano wako wa uuzaji wa gari nakubaliana kua sio kosa wala dhabi kufanya hivyo, ila credibility hapo itapotea, si kwa Juma tu bali kwa yoyote atakae sikia kisa hicho na inaweza ikawa ndio amenyea kambi kwenye hio biashara.
Mwanamke hapotezi credibility kwa kuchagua mmoja kati ya wengi wanaomshawishi.Na hiyo ya demu ni uthibitisho mwengine wa kukosa credibility.
Mke kwa watu wengi sana huanzia kua demu, sasa kama demu anakua na tabia kama hiyo, labda kama hana mpango na ndoa maana hata huyu rafiki ataogopa kuja kufanyiwa kama alivyofanya.
Hii imeenda..labda kama wanataka irudi tena...Hiyo hata Yanga wamewahi kufanya umafia kwa Mbuyi Twite alikuwa anaenda Simba, Chelsea wamewahi kufanya kwa John Mikel wakati anaenda Manchester United.
Issue ni hela suala la credibility linaonwa na familia yake.
Unapolisha familia basi hiyo ndio credibility tosha.