Mkuu, Mikataba ipo sababu makubaliano ya mdomo hayawezi pima credibility. haujui waliambiana nini, unachojua hawana mkataba hivyo ni mtu unayeweza fanya naye kazi.
Nothing personal, its business. Hakuna credibility inayopotea hapo.
Mwanamke hapotezi credibility kwa kuchagua mmoja kati ya wengi wanaomshawishi.
Mkeo inawezekana alikuwa anashawishiwa na mwingine kabla wewe hujatokea from no where na kumuoa.
Kama hujaoa na una mpenzi unayefikiria kumuoa jua hili linaweza tokea na ukampoteza, na haitamaanisha kuwa mpenzi wako hana credibility, itamaanisha kuwa ulizidiwa ushawishi.