Kuhusu Mitandao Ya Simu

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package zao. Sana sana airtel ukiingia wao unakutana na sehemu ya kuandika namba ili ununue bando, bila kujua bando gani na la bei gani na bila kujua kwamba sio visitors wote ni wateja wao, wengine ni wateja wa makampuni mengine ambao tuna interest nao... YAS wameweka lakini ni bando ndogo, nami nataka bando kubwa la mwezi mzima. 50GB+ exclusive Dakika
So far natumia VODA!

Nawasilisha..
 
Baki hapo hapo Voda, ongeza urefu wa mfuko wako, huko kwingine utajuta. Mfano hao airtel utajikuta unabando halafu halitumiki, utatukana matusi yote unayoyajua.
 
Baki hapo hapo Voda, ongeza urefu wa mfuko wako, huko kwingine utajuta. Mfano hao airtel utajikuta unabando halafu halitumiki, utatukana matusi yote unayoyajua.
Ooh... thanks
 
Baki hapo hapo Voda, ongeza urefu wa mfuko wako, huko kwingine utajuta. Mfano hao airtel utajikuta unabando halafu halitumiki, utatukana matusi yote unayoyajua.
Voda bando wanauza bei ya figo!!
 
Kwenye huduma kiukweli wanajitahidi. Sema bei sasa
Imagine, halotel nlikwangua vocha vibaya namba moja ikafutika, nawapigia wananiambia niende duka la halotel. Yaan nipo kijijini huko niende halo shop kisa vocha ya 500. Costomer care mwenyew kupokea simu nilisota sana nilirudia rudia sana
 
Hao niliwaacha kitambo, nawawaza tu mida huu kutokana na wide coverage yao na unafuu wa bando ambao nasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…