Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package zao. Sana sana airtel ukiingia wao unakutana na sehemu ya kuandika namba ili ununue bando, bila kujua bando gani na la bei gani na bila kujua kwamba sio visitors wote ni wateja wao, wengine ni wateja wa makampuni mengine ambao tuna interest nao... YAS wameweka lakini ni bando ndogo, nami nataka bando kubwa la mwezi mzima. 50GB+ exclusive Dakika
So far natumia VODA!
Nawasilisha..
So far natumia VODA!
Nawasilisha..