Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.
Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.
Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama kawaida yetu.
Mamlaka zitoke zifafanue hili.