Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

Kuomba msaada haimaanishi umpe mtu mchele wenye vichocheo ndani yake, mchele nchini unalimwa kwa wingi, kwanini wasitoe pesa tununue mchele hapa hapa?!
Kwanini muombe msaada wa mchele kama mnao nchini?

Sasa unathibitisha alichodai mleta mada. Michele mnayo kwenye maghala, alafu mnaenda Marekani kudai hamna michele mnakufa njaa mashuleni. Mkitegemea Mmarekani ni mjinga atawapa hela mnunue michele, kawabamiza na kitu kizito kichwani michele kaileta mwenyewe.

Yani muuza dagaa unayemuona nazo hapohapo akikwambia hana dagaa wa kula anaomba umpe hela akanunue. We utakubali unampa hela ili akajiuzie dagaa?
 
Nani kaomba mchele? hao wamejiorganise tu na vi NGO vyao vya huko wakaleta mchele..

Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.

Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.

Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama kawaida yetu.

Mamlaka zitoke zifafanue hili.
Kuna NGO's wana miradi inaitwa School feeding hivyo wanasaidia watoto kupewa chakula cha mchana usisikie kuna mahali njaa ipo,hata WFP walikuwa na mradi kama huu huko dodoma hivyo siyo kitu kigeni sema watu hawajui yanayotendeka nchini mwao!
 
Nani kaomba mchele? hao wamejiorganise tu na vi NGO vyao vya huko wakaleta mchele..
Hizo NGOs si zimesajiriwa na serikali. Hivi mkuu hujui kwamba kuna shule nyingi sana wanafunzi wanashinda njaa? Yani usijedhani huo mchele walioomba hawakumaanisha, kuna utapiamlo mkubwa tu. Sasa serikali isipange masharti ya kupewa hela inunue mchele kama haitaki iache ila sio kupanga masharti.
 
Hao NGO waje na pesa wanunue mchele, hata hapo Dodoma umejaa tele!
 
Kuomba msaada haimaanishi umpe mtu mchele wenye vichocheo ndani yake, mchele nchini unalimwa kwa wingi, kwanini wasitoe pesa tununue mchele hapa hapa?!
Kwa sababu wanao mchele ila hawana PESA za kugawa Bure.
 
Back
Top Bottom