Mzipige hizo pesa???Kuomba msaada haimaanishi umpe mtu mchele wenye vichocheo ndani yake, mchele nchini unalimwa kwa wingi, kwanini wasitoe pesa tununue mchele hapa hapa?!
Semenya wa ukaldayo unashusha nondo na madini yaliyojitosheleza.Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.
Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.
Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama kawaida yetu.
Mamlaka zitoke zifafanue hili.
Kashaulo ngenyaAda ya mja hunena, muungwana ni vitendo.
Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.
Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama kawaida yetu.
Mamlaka zitoke zifafanue hili.
Tukipewa fedha kila mmoja wenu anajua zitaenda wapi, hata ARV mngepewa fedha mjinunulie ingekuwa balaa.Kuomba msaada haimaanishi umpe mtu mchele wenye vichocheo ndani yake, mchele nchini unalimwa kwa wingi, kwanini wasitoe pesa tununue mchele hapa hapa?!
Na wabaya watapenyezea mabaya humohumoNi wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.
Tende kila mmoja wetu anajua shughuli na lengo lake.Tukiletewa Tende hatihoji ila fortified food tunaanza kuhoji?!Nadhani hoja iwe kufortify vyakula vya ndani kama ilivyofanyika keemye feed the future 2,
Njoo kula mchele mchele kijana.
Naombeni huo mchele mnaounanga nilishe nguruwe zangu.
Waje wanunue mchele wao wenyewe hapa Tz kisha wapeleke mashuleniTukipewa fedha kila mmoja wenu anajua zitaenda wapi, hata ARV mngepewa fedha mjinunulie ingekuwa balaa.
Waje wao wenyewe wanunue wakakabidhi mashuleniMzipige hizo pesa???
Tulia weweeeNjoo kula mchele mchele kijana.
Hutaki ubwabwa au unahofia virutubisho?Tulia weweee
🤣🤣🤣✋🏽Tukipewa fedha kila mmoja wenu anajua zitaenda wapi, hata ARV mngepewa fedha mjinunulie ingekuwa balaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naombeni huo mchele mnaounanga nilishe nguruwe zangu.