Mheshimiwa amoeba heshima yako..kwanza wawezapata msamaha wa kodi kwa gari ambalo si la biashara..sio unaagiza hiace then unaomba kutokulipa kodi hiyo haipo..pili gari lazima liwe model ya miaka 10 hivyo hisiagize gari la 2002 utakuwa umepoteza sifa ya kutokulipa kodi..tatu ni kuwa utalipa gharama zote za bandari pamoja na VAT..tatizo hapa amoeba ni kuwa sijuhi kama serikali inapenda watumishi waingize magari kwa punguzo au vipi maana kwa mfano mwalimu akitaka kuagiza mpaka amalize hizo process gari linakuwa limekwishafika bandarini siku nyingi na atakuwa kwenye hatari ya kulipa storage ..maana anatakiwa apeleke form(hiyo si tatizo kuipata)mfano wa hiyo fomu wawezaiona kwenye website ya Tra..pia anatakiwa kuambatanisha na BL..Hapo ndipo tatizo linapoanza maana BL inapatikana tu kama meli iliyopakia mzigo wako imeanza safari ya kuja tanzania..mfano toka dubai to tz kawaida meli inachukua siku 14 sasa kabda mwalimu ajamaliza kutia saini makao makuu meli inakuwa imeshafika...labda utoe chai ili fomu zako zipitishwe haraka!!!!niliwahimtumia mwalimu gari hivyo nina uzoefu na hili,tuliangaika na mwisho akalipa 4.5ml hii ndio wanasema bila ushuru!!!mtu wawezatumia njia hii kwa mwaka mara moja...pia kwa watanzania walio nje zaidi ya mwaka pindi watakapomaliza mda wao wanawezaingiza vitu bila ushuru onyesha visa yako iliyokuwa cancelled na utaingiza bila tatizo kumbuka vitu vyatakiwakuwa kimojakimoja gari moja..pikipiki moja..fridge moja nk....aksante +971504374387 dubai