Kuhusu msamaha wa kodi kwa magari yaliyotumika

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
791
Salaam Wakuu
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu msamaha wa kodi kwa watumishi wa serikali
1. Ni magari yapi yanayoruhusiwa kuombewa msamaha wa kodi?(say mtu anataka kuagiza Cayenne au Range Rover, au hata VW Toureg, BMW X3, X5 haina shida gari yoyote inaweza kupewa msamaha, au ni gari zenye sifa flani tu?)
2. Je, ni kodi zipi zinasosamehewa, ni VAT pekee au unaweza kuomba kusamehewa vyote (yaani Import Duty, Excise Duty na hata Dumping fee?)
3. Je, mtu akipata msamaha wa kodi mwaka huu, anaruhusiwa kuomba tena msamaha baada ya muda gani?

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mheshimiwa amoeba heshima yako..kwanza wawezapata msamaha wa kodi kwa gari ambalo si la biashara..sio unaagiza hiace then unaomba kutokulipa kodi hiyo haipo..pili gari lazima liwe model ya miaka 10 hivyo hisiagize gari la 2002 utakuwa umepoteza sifa ya kutokulipa kodi..tatu ni kuwa utalipa gharama zote za bandari pamoja na VAT..tatizo hapa amoeba ni kuwa sijuhi kama serikali inapenda watumishi waingize magari kwa punguzo au vipi maana kwa mfano mwalimu akitaka kuagiza mpaka amalize hizo process gari linakuwa limekwishafika bandarini siku nyingi na atakuwa kwenye hatari ya kulipa storage ..maana anatakiwa apeleke form(hiyo si tatizo kuipata)mfano wa hiyo fomu wawezaiona kwenye website ya Tra..pia anatakiwa kuambatanisha na BL..Hapo ndipo tatizo linapoanza maana BL inapatikana tu kama meli iliyopakia mzigo wako imeanza safari ya kuja tanzania..mfano toka dubai to tz kawaida meli inachukua siku 14 sasa kabda mwalimu ajamaliza kutia saini makao makuu meli inakuwa imeshafika...labda utoe chai ili fomu zako zipitishwe haraka!!!!niliwahimtumia mwalimu gari hivyo nina uzoefu na hili,tuliangaika na mwisho akalipa 4.5ml hii ndio wanasema bila ushuru!!!mtu wawezatumia njia hii kwa mwaka mara moja...pia kwa watanzania walio nje zaidi ya mwaka pindi watakapomaliza mda wao wanawezaingiza vitu bila ushuru onyesha visa yako iliyokuwa cancelled na utaingiza bila tatizo kumbuka vitu vyatakiwakuwa kimojakimoja gari moja..pikipiki moja..fridge moja nk....aksante +971504374387 dubai
 
Heshima Mbele mkuu lucky sabasaba!
Gharama za bandarini obviously ni lazima kulipa hazikwepeki, lakini kama mlilipa VAT, ina maana mlichosamehewa ni Import Duty pekee, na kama mlilipa 4.7M kwa gari ya chini ya miaka kumi naona ilikuwa gari kubwa sana, unaweza kukumbuka ilikuwa gari gani mkubwa?
Shukrani mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa rav 4..2003 model ata mimi nilishangaa sana maana nachojua nilitakiwa kulipa vat tu..sijuhi ni kwanini ilikuja juu hivyo..lakini pia kuna mchezo unachezwa kati ya agent na vishoka pale tra..agent anawezakukuonyesha bills za tra kumbe fake...tatizo jingine TRA uwa wana uplift thamani ya gari sana..cif ilikuwa 6800 $..wao wakasema $8600
 
si nasikia io exemption imefutwa au na taarifa zisizo sahihi kwa sasa
 
Hapana exemption ipo ila bado utalipia kodi ya juu sio kama hulipi kabisa ni punguzo dogo lenye process ndefu...
 
Back
Top Bottom