Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 791
Salaam Wakuu
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu msamaha wa kodi kwa watumishi wa serikali
1. Ni magari yapi yanayoruhusiwa kuombewa msamaha wa kodi?(say mtu anataka kuagiza Cayenne au Range Rover, au hata VW Toureg, BMW X3, X5 haina shida gari yoyote inaweza kupewa msamaha, au ni gari zenye sifa flani tu?)
2. Je, ni kodi zipi zinasosamehewa, ni VAT pekee au unaweza kuomba kusamehewa vyote (yaani Import Duty, Excise Duty na hata Dumping fee?)
3. Je, mtu akipata msamaha wa kodi mwaka huu, anaruhusiwa kuomba tena msamaha baada ya muda gani?
Natanguliza shukrani wakuu.