1013MIGRANT
New Member
- Sep 20, 2013
- 2
- 0
Huu mswada wa katiba cna hakika kama kweli wabunge wetu wanatuwakilisha vyema wananchi kwa mwendo huu cc watanzania kila kitu tuko nyuma kugombana bungeni sio suluhisho la matatizo wazo langu nafikiri spika wa bunge kuna haja ya kukaa na kufikiria maslahi ya taifa asiangalie kuwa ccm ndo chama tawala katiba ni ya watanzania wote watanzania tunaumia kwani mh. Mbowe angepewa nafasi ya kuongea siku ile bungeni huenda yote haya yasingetokea ushauri wangu kwa job ndugai asitumie hasira kuchukua maamuzi ambayo yanaleta ugonvi bungen sio mara moja kusababisha hizo fujo bungen tumechoka wananch