Kuhusu Mswada wa Katiba

Kuhusu Mswada wa Katiba

1013MIGRANT

New Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Huu mswada wa katiba cna hakika kama kweli wabunge wetu wanatuwakilisha vyema wananchi kwa mwendo huu cc watanzania kila kitu tuko nyuma kugombana bungeni sio suluhisho la matatizo wazo langu nafikiri spika wa bunge kuna haja ya kukaa na kufikiria maslahi ya taifa asiangalie kuwa ccm ndo chama tawala katiba ni ya watanzania wote watanzania tunaumia kwani mh. Mbowe angepewa nafasi ya kuongea siku ile bungeni huenda yote haya yasingetokea ushauri wangu kwa job ndugai asitumie hasira kuchukua maamuzi ambayo yanaleta ugonvi bungen sio mara moja kusababisha hizo fujo bungen tumechoka wananch
 
Nampongeza sana wazir mwakyembe kwa kazi nzuri anayofanya na mungu ataendelea kumlinda cjui mawaziri ambao wanalingiza taifa hasara hawaoni aibu? Kama rais amewapa vyeo lakini wao hawafuati walioagizwa na raisi kwangu mimi nafikiri ingeundwa sheria ambayo wangekuwa wanafukuzwa mda houhuo kila wanapoharibu nawashangaa wanaombeza rais kikwete wakat anajitahid uongoza nchi ni msikivu na anapenda ushauri ndo maana kawaona hata akina mwakyembe na wanafanya kweli mimi inaniuma sana ninapoona magazet kila siku yanaripoti maovu yanayotokea nchini mwetu wakati tungekuwa tunasikia habari za maendeleo
 
Join Date : 20th September 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0



Umejitahidi lakini jipange umenichanga na hoja yako; haiendani na hali halisi
 
Back
Top Bottom