Hakuna uharamu eeh? yaani mtu akim-to-mba mama yako njee ya ndoa, sawa tu kwako eeh?Ni udhalilishaji wa kukemewa kwa nguvu zote!! Shosti mie hakuna uharamu hata kwa wazazi maana baadhi ya hao watoto ndio huwa ndio wanakujaga kuokoa jahazi mbele ya safari. So eventually, unaishia kumshukuru Mungu aliekujalia kupata huyo mtoto, regardless of circumstances.
Aisee waitwe tu watoto sababu hawastahili hayo majina aisee hawakupenda kuzaliwa hivyoa bastard, illegitimate child, mtoto haramu, mtoto wa zinaa
dah majina yote naona mabaya yawe ya kizungu au kiswahili wataalamu wa lugha hakuna jina zuri la kuwaita hawa watoto?
hakuna mtoto haramu ,, kwanza kuni dhalilisha mtoto unapomwita haramu.. haramu ni wazazi waliomzaa
Mnaongea kama waislamu ama hisia zenu?Inashangaza, mtoto ni haramu lakini wazazi siyo haramu.
Waislamu ndiyo hutumia maneno hayo?Mnaongea kama waislamu ama hisia zenu?