Kuhusu mtoto haramu

Kuhusu mtoto haramu

Status
Not open for further replies.
Ni udhalilishaji wa kukemewa kwa nguvu zote!! Shosti mie hakuna uharamu hata kwa wazazi maana baadhi ya hao watoto ndio huwa ndio wanakujaga kuokoa jahazi mbele ya safari. So eventually, unaishia kumshukuru Mungu aliekujalia kupata huyo mtoto, regardless of circumstances.
Hakuna uharamu eeh? yaani mtu akim-to-mba mama yako njee ya ndoa, sawa tu kwako eeh?
 
a bastard, illegitimate child, mtoto haramu, mtoto wa zinaa
dah majina yote naona mabaya yawe ya kizungu au kiswahili wataalamu wa lugha hakuna jina zuri la kuwaita hawa watoto?
Aisee waitwe tu watoto sababu hawastahili hayo majina aisee hawakupenda kuzaliwa hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom