Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Wahskwambja bado hawajaunganaa vzuri hahahaaa 😂Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO
HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
Mavambo, hamza,ateba Hawa mbona hawajaomba huo mudaMkuu yule kashaanza kupigwa misumari
Mutalee mtu na nusu sielewi kinachoendelea wampe mda
Hujui wanajilindaje huyu kaja kifala wenzie wameagaMavambo, hamza,ateba Hawa mbona hawajaomba huo muda
Nahueshimu mpira ila sioni akifanya makubwa kwani kwa hizi timu zetu za Simba na Yanga presha ni kubwa ukikosea mwanzoni TU unajivuruga kisaokolojia na presha inakuwa kubwa, hivyo ni ngumu kufanya Sana kufanya vzr ata km mchezaji ana kipaji kubwaMutale mzuri mkuu utaniambia uko mbelen
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia .Presha toka Mashabiki lazima itamuathiri tu.Nahueshimu mpira ila sioni akifanya makubwa kwani kwa hizi timu zetu za Simba na Yanga presha ni kubwa ukikosea mwanzoni TU unajivuruga kisaokolojia na presha inakuwa kubwa, hivyo ni ngumu kufanya Sana kufanya vzr ata km mchezaji ana kipaji kubwa
Cha msingi MPIRA,SAIKOLOJIA,PRESHA Kwa mchezaji vinaenda sambamba
Mzuri kwenye angle ipi mpk Sasa kwenye mechi alizocheza?Mutale ni mchezaji mzuri..
Mayele alipokuja tulimnanga mkuu ameondoka kama mfalme na huko anafanya yakutoshaMzuri kwenye angle ipi mpk Sasa kwenye mechi alizocheza?
Duuh kwa hyo wanalingana miaka mkuuMutale yeye na Saidoo wanazidiana siku tatu yani Mutale kamzidi siku tatu Saido kwenye umri sasa sio wa kumlaumu sana ndio maana akipata mpira kudondoka yeye ni jambo rahisj sana kuliko mlevi kujikojelea..
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia.Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO
HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!