Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

Mkuu yule kashaanza kupigwa misumari

Mutalee mtu na nusu sielewi kinachoendelea wampe mda
 
Mutale mzuri mkuu utaniambia uko mbelen
Nahueshimu mpira ila sioni akifanya makubwa kwani kwa hizi timu zetu za Simba na Yanga presha ni kubwa ukikosea mwanzoni TU unajivuruga kisaokolojia na presha inakuwa kubwa, hivyo ni ngumu kufanya Sana kufanya vzr ata km mchezaji ana kipaji kubwa

Cha msingi MPIRA,SAIKOLOJIA,PRESHA Kwa mchezaji vinaenda sambamba
 
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia .Presha toka Mashabiki lazima itamuathiri tu.
 
Muda
Oooh tunachukuq mchezaji ajacheza miezi sita huyooo anakiwasha

Nzengeli
Alikaa nje miezi kadhaa bila timu kaja mdogomdogo sasahivi Motorola

Tuwape mda nao bnadamu
 
Dogo ana vyenga vingi kinoma hata langoni hasogei achilia mbali kutoa pasi ni vyenga mpaka kupoteza.
 
Mutale yeye na Saidoo wanazidiana siku tatu yani Mutale kamzidi siku tatu Saido kwenye umri sasa sio wa kumlaumu sana ndio maana akipata mpira kudondoka yeye ni jambo rahisj sana kuliko mlevi kujikojelea..
 
Duuh kwa hyo wanalingana miaka mkuu
 
Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO

HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia.
 
Mchezaji gani yule anakimbia kimbia tu uwanjani kama nyumbu!
 
Back
Top Bottom