Utapelekwa kuzimu fastaShalom....!
Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...!
Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...!
Kuna Unabii wa Kimungu nataka ku share na yeye.
Kama yupo hapa, anaweza tu kuja in box, tukaongea kama Watoto wa Mungu...
Asante.
Huyo Nabii wa kukufuata inbox atakuwa wa Mchongo,Shalom....!