Kuhusu Nabii (Prophet)

Kuhusu Nabii (Prophet)

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Shalom....!

Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...!

Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...!

Kuna Unabii wa Kimungu nataka ku share na yeye.
Kama yupo hapa, anaweza tu kuja in box, tukaongea kama Watoto wa Mungu...

Asante.
 
Utapelekwa kuzimu fasta
 
Huyo Nabii wa kukufuata inbox atakuwa wa Mchongo,

Ikiwa una unabii wa Mungu, Mwombe MUNGU akuonyeshe ni nani umwendee akusaidie,

Nadhani umeelewa,

Lakini pia ikiwa ni unabii upo kimaandiko, ulete wazi upimwe Kwa maandiko na utapata tafsiri Yako na wengine watajifunza.

Ikiwa unabii ni WA Siri, Mungu Yuko huko sirini, Mwombe akuambie ni nani sahihi akusaidie umtafute huyo.

Ubarikiwe 🙏
 
Back
Top Bottom