Kuhusu nani anastahili kiatu mskie Othman Kazi, refa wa Mstaafu wa FIFA

Ona hili jamaa, ulitaka asikabwe? Basi mshauri aache mpira. Halafu unamtukana mleta mada wakati yeye kaleta hoja ya kikanuni. Hovyo kabisa wewe.
 
Saidoo kaleta kizungumkuti kipya kwa WanaMedali.

Hili nalo watataka waitwe na mama wakale ubwabwa wa bure ikiliwakubali yaishe...
Kelele zimekuwa nyingiiii kulilia kiatu! Jamaaaani! TFF hebu mpeni Said ili angalau wajiliwaze maana nyuzi zimekuwa nyingiiii zinajaza server bure wasikose vyote majirani zetu. Kuweni na Huruma. Kiatu chenyewe kimoja hawezi kukivaa mtaani abadan kitaishia kutundikwa ukutani na kusahaulika huko. Mwamba wa kweli wa kufumania nyavu anajulikana hata Waarabu wanamjua naye si mwingine bali ni Maestro Mayeleeeeeee!!!!!
 
Huu mjadala unawavua nguo member wengi sana JF..
"Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza."
Hii ya kutumia penalti kama kigezo ni kichekesho itakuwa ni Tanzania pekee!!
 
Ona hili jamaa, ulitaka asikabwe? Basi mshauri aache mpira. Halafu unamtukana mleta mada wakati yeye kaleta hoja ya kikanuni. Hovyo kabisa wewe.
Hovyo square tena period, hujaangalia magoli mliyokuwa mnamnyima Mayele 2022 kwa ujinga wenu kuwa ni offsides kumbe ni PUMBA?

Rais wenu wa TFF kuwa Makolokolo kusiwafanye mjitoe ufahamu mkampatia Aden Rage unabii wa kuwaita vileeee [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni ukweli usiopingika
Ukose penalty useme huna magoli ya Penalty ni ujinga kiwango cha bandari
 
Said keshachukua kikanuni
 
Mayele Kukabwa nayo Ni kanuni!.

Kweli hakuna mwenye Akili Utopoloni.

Na wewe Ni great thinker!
 
Mayele ana advantage dhidi ya Saido, kwanini? Mayele kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa, ila Saido hakufanya hivyo, so Mayele ndio anastahili kupewa Golden Boot.

Saido mechi moja ameshinda magoli 5 ya kimchongo, huyo hastahili golden boot
Magoli matano kaifunga timu gani?
 
Huu mjadala unawavua nguo member wengi sana JF..
"Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza."
Hii ya kutumia penalti kama kigezo ni kichekesho itakuwa ni Tanzania pekee!!
LIGI NYINGI Means kuna LIGI hawatumii huo mfumo.
 
Si kama makolo ndio mnaangaika angalau na nyie mpate chochote msimu baada ya kushindwa hata kupata kombe la mapinduzi,msikilize afisa habari wa tff hapa alifafanua msimu uliopita sheria za tff ziko vipi,saidoo ana goli karibia 5 za penalti
Kwani msimu huu Mayele si alipewa penati mkoani na akapaisha, au umesahau?
 
Saidoo kaleta kizungumkuti kipya kwa WanaMedali.

Hili nalo watataka waitwe na mama wakale ubwabwa wa bure ikiliwakubali yaishe...
Yah ni sahihi kuwaita wanaMedali
[emoji966]---NGAO YA JAMII
[emoji1628]---CAF
[emoji966]---NBC PL
 
Umeandika kwa jazba kweli.

Kwahyo unabishana na FIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…