Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
KWANZA HIKO GOLDEN BOOT CJAWAHI KUKIONA KUPOTEZA MUDA TU...😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa na ushahidi wa magoli ya kimchongo!! Kuwezesha timu kuwa bingwa siyo kigezo kwenye ufungaji bora popote duniani. Ungekuwa unazungumzia mchezaji bora hapo sawa!! Kubalini Mayele amepigwa knock out round ya mwisho na asubiri msimu ujao!!Mayele ana advantage dhidi ya Saido, kwanini? Mayele kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa, ila Saido hakufanya hivyo, so Mayele ndio anastahili kupewa Golden Boot.
Saido mechi moja ameshinda magoli 5 ya kimchongo, huyo hastahili golden boot
😅😅 Kwahiyo hoja yako ni assist ziinahusika kwenye ufungaji Bora?.Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.
Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!
Nani amekuambia hawana kanuni? Hakuna mashindano hayana kanuni, unazoziona wewe ni KANUNI kubwa. Ila zipo kanuno Ndogo. Mfano umeona maelezo ikiwa mchezaji amejifunga magali 20 atahesabika kama Top score? Umeiona kanuni hiyo? Ila ipo na inatolea ufafanuzi.TFF hawana kanuni rasmi kwa hiyo na wewe usipotoshe.
Uingereza wanatumia mfumo wa Magoli ya Penalty kwanza then Assist zinafuata. Ila wao wameamua tu magoli yakifanana basi kiatu mnashare, ila kwenye kurank wanaanza mwenye magoli machache ya Penalty.Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.
Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!
Kama mfungaji bora ndivyo anaamliwa na kanuni ya magoli ya penati basi ni upuuzi ulipitiliza.Nani amekuambia hawana kanuni? Hakuna mashindano hayana kanuni, unazoziona wewe ni KANUNI kubwa. Ila zipo kanuno Ndogo. Mfano umeona maelezo ikiwa mchezaji amejifunga magali 20 atahesabika kama Top score? Umeiona kanuni hiyo? Ila ipo na inatolea ufafanuzi.
Kanuni ndogo ya Kufunga kwa wafungaji huangaliwa Idadi ya penati hiyo tangu msimu wa 2018/19 mara baada ya kutokea sintofahamu ya akina Msuva.
Top scores
1. MAYELE 17
1. SAIDO 17
GOLDEN BOOT
MAYELE KWA SABABU ANA MAGOLI MACHACHE YA PENALTY.
CHUKUA HIYO.
Ndo maana mashindano ya confederation na champions hayana extra time ya dakika 30 na ikitokea mmefungana mnaenda kwenye penaltyKila mashindano yana kanuni zake mwelewe hilo. Sheria za mpira huamuliwa na FIFA ndo regulater lkn kwenye kanuni inadepend na mashindano yenyewe mfano kanuni za mashindano ya FA (Azam sports) inaweza kuwa tofauti na kanuni za ligi (NBCPL) kwasababu ni mashindano mawili tofauti japo yanasimamiwa na chombo kimoja yaani TFF.
So mpaka sasa tff ndo wenye hizo kanuni ndo wataamua kwa kuzingatia kanuni husika
Sio upuuzi hii inaongeza ushindani katika kufunga. Mbona BINGWA SPAIN kama mtafanana point wanaangalia Head to Head wakati Uingereza wanangalia Goal Difference?Kama mfungaji bora ndivyo anaamliwa na kanuni ya magoli ya penati basi ni upuuzi ulipitiliza.
Quite differ!!, Kigezo chakumuondolea mtu magoli yake ya penati ni nini?, Kwamba kila mmoja anaweza kufunga penati?. Head-Head inahusisha timu shindani vivyo hivyo goal difference, Kwanini na wao wasiangalie timu ipi imefunga magoli mengi ya penati yakaondolewa?.Sio upuuzi hii inaongeza ushindani katika kufunga. Mbona BINGWA SPAIN kama mtafanana point wanaangalia Head to Head wakati Uingereza wanangalia Goal Difference?
Mipira iliyokufa sio jitihada, ni magoli ya kutafutiwa. Always Penalty linapokuja suala la kusindanisha ufungaji Penalty huwekwa as favor kwako, hivyo wanayaondoa kwa maana hujatumia nguvu kuyapata.Quite differ!!, Kigezo chakumuondolea mtu magoli yake ya penati ni nini?, Kwamba kila mmoja anaweza kufunga penati?. Head-Head inahusisha timu shindani vivyo hivyo goal difference, Kwanini na wao wasiangalie timu ipi imefunga magoli mengi ya penati yakaondolewa?.
Ukiambiwa uthibitishe hiyo kimchongo utaweza!??au unaropokwa tu?.Mayele ana advantage dhidi ya Saido, kwanini? Mayele kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa, ila Saido hakufanya hivyo, so Mayele ndio anastahili kupewa Golden Boot.
Saido mechi moja ameshinda magoli 5 ya kimchongo, huyo hastahili golden boot
Bodi ya ligi na TFF hawana hiyo kanuni,acha uongo mkuu.kama ipo leta ushahidi.KANUNI ndogo za TFF.
Mkilingana Magoli, basi yanaangaliwa magoli ya Penati.
Hakuna la ziada hapo. Kanuni za Mashindano ya FIFA hazifanani na za CAF. Mfano CAF hakuna Goal Difference wao hutumia H2H kwanza kama SPAIN.
USIKARIRI.
Kwa hiyo hizo sauti za hao watu ndio kanuni?Huyo nae ni kilaza hebu tafuta reference nyingine, Kwenye suala la ufungaji bora hizo assist ni magori?, Sijui dakika chache Sasa kama ulikuwa hupiwi umhimu wa kucheza inahusianaje na ufungaji bora?. Uzuri Kuna reference ya sauti za maafisa wa tff zinaaeleza toka msimu jana ko kamati ya tuzo wamekumbatia bomu lao wenyewe.
Ila saido ni mzee wajamenii apewe tu ndio kwanza jua limeshazama[emoji849]
Hivi mbona mmekazania magoli ya penati,kwabi sio magoli,mbona hamyakatai magoli ya free kick,coz yote yanatokana na pigo huru..tofauti ni mahali tu.Nani amekuambia hawana kanuni? Hakuna mashindano hayana kanuni, unazoziona wewe ni KANUNI kubwa. Ila zipo kanuno Ndogo. Mfano umeona maelezo ikiwa mchezaji amejifunga magali 20 atahesabika kama Top score? Umeiona kanuni hiyo? Ila ipo na inatolea ufafanuzi.
Kanuni ndogo ya Kufunga kwa wafungaji huangaliwa Idadi ya penati hiyo tangu msimu wa 2018/19 mara baada ya kutokea sintofahamu ya akina Msuva.
Top scores
1. MAYELE 17
1. SAIDO 17
GOLDEN BOOT
MAYELE KWA SABABU ANA MAGOLI MACHACHE YA PENALTY.
CHUKUA HIYO.
Sasa kama hujui kwanini watu hupewa penati,ni kwamba anayepewa tuta huwa anahesabiwa alikuwa na 90%au 95% ya kunufaika na mpira ili afunge,ndo mana akichezewa faulo ndani ya box hupewa tuta.,hivyo sio as favor bali huwa anahesabiwa kuwa alikuwa na manufaa na mpira.Mipira iliyokufa sio jitihada, ni magoli ya kutafutiwa. Always Penalty linapokuja suala la kusindanisha ufungaji Penalty huwekwa as favor kwako, hivyo wanayaondoa kwa maana hujatumia nguvu kuyapata.
Unajitoa ufahamu bure tu.Sasa kama hujui kwanini watu hupewa penati,ni kwamba anayepewa tuta huwa anahesabiwa alikuwa na 90%au 95% ya kunufaika na mpira ili afunge,ndo mana akichezewa faulo ndani ya box hupewa tuta.,hivyo sio as favor bali huwa anahesabiwa kuwa alikuwa na manufaa na mpira.
Achana naye huyo. Wenye akili yanga ni wawili tuKwa hiyo kigezo cha mfungaji bora ni mchezaji aliyekuwa anakabwa zaidi? 😁
Una Mawazo ya kijima. Kwa hiyo magoli ya penalty kumbe yanaingia golini bila kutumia nguvu?Mipira iliyokufa sio jitihada, ni magoli ya kutafutiwa. Always Penalty linapokuja suala la kusindanisha ufungaji Penalty huwekwa as favor kwako, hivyo wanayaondoa kwa maana hujatumia nguvu kuyapata.