Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Neymar anastaafu soka la kimataifa akiwa na umri mdogo sana, sijui shida Nini, hapo ndo napo mheshimu sana ronaldo
Amejitumikisha sanaNeymar anastaafu soka la kimataifa akiwa na umri mdogo sana, sijui shida Nini, hapo ndo napo mheshimu sana ronaldo
Yaani wabongo mnapenda kukurupuka sana,Neymar anastaafu soka la kimataifa akiwa na umri mdogo sana, sijui shida Nini, hapo ndo napo mheshimu sana ronaldo
Kabisa kaka na mashaka Messi hatoweza fika umri wa Ronaldo akiwa na uboraCR7 NOUMAAAA SANAAAAAA
Mifano tunayo mingi viongozi walio taka kubaki madarakani Hadi waliopo aga dunia but kama mtu anaona bado ana nguvu sioni shida KULIENDELEZA Kuna mjapan ana miaka 53 na bado anakiwashaWatu weupe wengi wapo mbele ya muda sio kimichezo tu hata kwenye maofis na nyazfa za uongoz watu hua wanajitadhimin wenyewe nakujiona tayar yeye muda wake wakutumikia umma umetosha na sasa ajitumikie mwenyewe na mungu wake( Afrika weusi uku mtu adi afie uwanjani au ofisini)
Kweli nilikua nasoma mahala una ambiwa enzi hizo yule mme wa Shakira na Neymar na wana kibao walichukua ndege kwenda Dubai usiku kula Bata usiku huohuo wakageuza kurudi Barcelona Kwa AJILI ya mechi kesho yake, nilishangaa sana anadai hawakushtukiwaAmejitumikisha sana
Wale ni party peoples
Wakina ronaldo,messi wameweza kukaza mpaka sahv maana hawana mambo mengi sijui anasa
Na wana nidhamu
Ova
Nimekurupuka wapi kakaYaani wabongo mnapenda kukurupuka sana,
Ni kweli lakini umri mdogo sanaMaamuzi mazuri
AshajiwekezaNi kweli lakini umri mdogo sana
Maamuzi mazuri
Uko sahihi lakini ye ni professional nadhani ange weka uchunguzi ni kipi hasa kinampa injury ya mara Kwa mara, nasikia Bata sana sa sijui starehe na injury wapi na wapi? Ni MUNGU tu huenda kamuandalia nafasi nzuri zaidi mana umri mdogo sana, nadhani anastahili world cup mbili mbele badoMajeruhi si kingine! Kiwango kipo, hata hii WC Don Carlo qlimuita tu kwa heshima , pia pressure ya media! Asingestahili kuitwa
Neymar tangia aonde Barca hajawahi kuwa yule tena... injury zimemtesa sana!'
Hapana mkuu Neymar na Ronaldo nani boss kakaAshajiwekeza
Labda alikua na matatizo ya kiafyaPele allstaafu kucheza timu ya taifa akiwa na umri wa miaka 30.
Hakuwa na matatizo yo kiafyaLabda alikua na matatizo ya kiafya
Basi aliamua tu kukaa pembeni miaka 30 michache sana fatilia vizuri Kuna sababuHakuwa na matatizo yo kiafya