Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Miaka 34 mbona ndiyo umri standard kustaafu soka la kimataifa!
Pele,Maradona,Ronaldo De Lima,Ronaldinho walistaafu soka la kimataifa kabla ya umri huo.
De Lima alistaafu na 29 tu,imagine!! Kama siyo majeraha,Ronaldo&Messi watacheza WC 2030 kwa sababu za kibiashara zaidi.